Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

Status
Not open for further replies.
Linjemba lizima linapochanua milips yake mikumbwa na kusema ''veepe'' huwa silielewi.
Mtakuja kumeza inzi, maneno mengine muwaachie dada zenu.

NOTE:Unaruhusiwa kupaniki na kutoa povu..
 
acha umbea!!!
huyu mtoto wa kiume hana kiki
kwa sababu ,sio mtoto wa kwanza wa chibu!!
tiffa alipata kik wa sababu baba ake alikua mshamba wa kuzaa, na kukata vilimi limi vya wazushi!!

halafu kingine huyu mama wa kiganda ameshachokwa Tz
siku zile alikua kipya kinyemi...
sasa tushamchoka!!
hawawezi kupata kiki kwakweli!! na wala hawatafuti kiki!!!
ila bosslady anatafuta kiki
mwanammke ukizaa unatakiwa upumzishe mgongo
kwa kupenda kiki za insta kajifanya kupika! shauri yake!!!!!!!!!!

ila chibu junior hawezi kupata kiki na wala hawataki kiki!!!!
Mleta mada na wewe mnatokea ukoo mmoja?
 
Linjemba lizima linapochanua milips yake mikumbwa na kusema ''veepe'' huwa silielewi.
Mtakuja kumeza inzi, maneno mengine muwaachie dada zenu.

NOTE:Unaruhusiwa kupaniki na kutoa povu..
povu kwa kipi sasa watu wanachanuaa sehemu muhimu sembuse mdomo wa bj
 
i gt u baby boo nahisi kwakuwa watu wameshawazoeaaa eehee manake huyu kimyaaaa na baba ake alikuwa anasaka kick kusema ataonyesha live kama dj khaled
Timu wema ndo walikua wanaletaga attentions kwa kuwaandama sasa tangia waache kumekuwa kimya no makeke ka ya mwanzo, nimeamini mabifu na timu huwasaidia wasanii wasisahaulike aisee.
 
hiv mnakumbuka tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa chibu junior naonaa zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia chibu junior ilaa kick zimegoma manake naona mama ake mara asonge ugali,mara aende supa market mara ajiselfie ilaaa vimegoma chaaaa kwakweli tiffa alikuja na nyota yake anazaliwa tu kashakuwa balozi wa msasani mall ila huyu mmmmh ngachoka kwan veepe ni kwamba makampuni yamefulia au?
Mbona wongea kama ulitaka uzalishwe wewe aisee..
 
Nasikia wanasema kumbe ni mtoto wa Le Mutuz
 
hapa nimekuelewaa kwa kweli bi maza anatumiaa too much energy wakati mama mkwe wake yupo khaa wakati watz washamshushaga vyeo zaman
hawajui wabongo
wazee wa kik na kuchujisha!
wakishakuchujisha hauna thamani kwao!
sasa muache aumize mgongo baada ya miaka mi2 aanze kutembelea mkongojo
uzazi hauna mwenyewe
watachoma masindano ya kuzuia kuumwa uchungu, watafanya kila kitu ila mzazi anahitaji kupumzika hata siku2 tatu
mwache awafate wakina blacchyna kutaka mikiki uchwara! ataumia baadae
kama yy anajiona strong angepika kimya kimya
kuturekodia ni ushahidi Tosha kuwa anataka kiki
na wabongo wanamsifia wakati anaumia... shauriyee
 
Ata kama hesabu nilifell ila navojua ..JAMII FORUMS sio sawa na INSTAGRAM ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom