Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada na wewe mnatokea ukoo mmoja?acha umbea!!!
huyu mtoto wa kiume hana kiki
kwa sababu ,sio mtoto wa kwanza wa chibu!!
tiffa alipata kik wa sababu baba ake alikua mshamba wa kuzaa, na kukata vilimi limi vya wazushi!!
halafu kingine huyu mama wa kiganda ameshachokwa Tz
siku zile alikua kipya kinyemi...
sasa tushamchoka!!
hawawezi kupata kiki kwakweli!! na wala hawatafuti kiki!!!
ila bosslady anatafuta kiki
mwanammke ukizaa unatakiwa upumzishe mgongo
kwa kupenda kiki za insta kajifanya kupika! shauri yake!!!!!!!!!!
ila chibu junior hawezi kupata kiki na wala hawataki kiki!!!!
siri yakwaIwo mchaka okwi?
Huyu unaweza kukuta anakaa kwa shemeji yakeAtakuwa wa Arusha.. Huyu atakuwa kwenye ile orodha ya waliopewa piki piki za bure majuzi...
povu kwa kipi sasa watu wanachanuaa sehemu muhimu sembuse mdomo wa bjLinjemba lizima linapochanua milips yake mikumbwa na kusema ''veepe'' huwa silielewi.
Mtakuja kumeza inzi, maneno mengine muwaachie dada zenu.
NOTE:Unaruhusiwa kupaniki na kutoa povu..
nafanya nn huko kwa mfanoHuyu unaweza kukuta anakaa kwa shemeji yake
too late hata wakija na kumi ila kwa tifaa ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa same applied to saint wa kanyeWala usipate tabu muda si mrefu watakujibu kwa endorsement
Ni jike dume liliwai kuishi kwa Cameroon sass halina solo tenaAliyetoa hii post ni mwanaume?!
MANENO YA MKOSAJINi jike dume liliwai kuishi kwa Cameroon sass halina solo tena
KAWAIDA MBONA JAMANIla we jamaa ni mzuti sana
Timu wema ndo walikua wanaletaga attentions kwa kuwaandama sasa tangia waache kumekuwa kimya no makeke ka ya mwanzo, nimeamini mabifu na timu huwasaidia wasanii wasisahaulike aisee.i gt u baby boo nahisi kwakuwa watu wameshawazoeaaa eehee manake huyu kimyaaaa na baba ake alikuwa anasaka kick kusema ataonyesha live kama dj khaled
Mbona wongea kama ulitaka uzalishwe wewe aisee..hiv mnakumbuka tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa chibu junior naonaa zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia chibu junior ilaa kick zimegoma manake naona mama ake mara asonge ugali,mara aende supa market mara ajiselfie ilaaa vimegoma chaaaa kwakweli tiffa alikuja na nyota yake anazaliwa tu kashakuwa balozi wa msasani mall ila huyu mmmmh ngachoka kwan veepe ni kwamba makampuni yamefulia au?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji23]Aliyetoa hii post ni mwanaume?!
hawajui wabongohapa nimekuelewaa kwa kweli bi maza anatumiaa too much energy wakati mama mkwe wake yupo khaa wakati watz washamshushaga vyeo zaman
Nadhan ni dume dada, hapa ndo naamin ule usemi cku za mwishon wanawake watakuwa wengi kuliko wanaumeAliyetoa hii post ni mwanaume?!