Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

KAMA HUJAONA AKILI YA ZARI MPAKA SASA HIVI NA WEWE UNA SHIDA KICHWANI.KWA MAWZO YAKO ZARI ANAMTEGEMEA DIAMOND.ZARI ANA HELA KULIKO DIAMOND
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umeuaaa
 
SI MUMSHAURI NYIE ANATUTIA AIBU WABONGO TUNAONEKANA LIMBUKENI
Haya naongea humu tu. Nikifika Instagram. Uwa nakaa kimyaa. Naogopa wenye timu zao. hamisa angekuwa mjanja yeye ndo angekuwa namba 1. Na ingewezekana hata kuishi pamoja na diamond sabab ya mtoto. Tatizo mdomo na timu zao zinamjaza ujinga.
Siku zote nyumba ndogo ndo inamzidi ujanja nyumba kubwa. Lakini yeye nyumba ndogo anazidiwa ujanja na nyumba kubwa.
Anaonekana Hana cha ziada.
 
KAMA HUJAONA AKILI YA ZARI MPAKA SASA HIVI NA WEWE UNA SHIDA KICHWANI.KWA MAWZO YAKO ZARI ANAMTEGEMEA DIAMOND.ZARI ANA HELA KULIKO DIAMOND
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daah!ana pesa gani yule
 
Wtf
 
Lazima muambiwe ili mujue wapi mrekebishe,

Mwambieni kiti wenu Apunguze mizuka
Kweli maisha bila unafki hayaendi!!anza kujirekebisha wewe kwanza
Dada pambana na yako[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ya hamissa huyawezi.
Mondi hana mke mjue ana hawara mwenye watoto watatu wa mwanaume mwingine
Mwanamke mwenye akili hawezi muacha mzazi mwenzie waliyeishi for good 12yrs na kwenda kubemenda vitoto
 
Acha ngenga mtoto wa kike mjini hatupangiani jinsi ya kuishi, eti uke wenza teh teh teh kwa ndoa ipi aliyoolewa Zari sasa?
 
She is just 24??. Anadai yupo na mondi huu mwaka wanaingia mwaka wa 10 wa mahusiano. Kwahyo alianza kudate na mondi akiwa na 14 years??. Jamani hamisa atakua ana miaka 27-28 [emoji1][emoji1][emoji1]
 
zari aliamsha dude mlimani city. team mobeto wameza kutu (rust)
 
Diamond hajao kakaaa ana mahawara tu
Msiwape vyeo hivyoo
 
Acha ngenga mtoto wa kike mjini hatupangiani jinsi ya kuishi, eti uke wenza teh teh teh kwa ndoa ipi aliyoolewa Zari sasa?
Wanahalalisha haramu hawa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanamjaza ujinga bibi yule hawajui maana ya ndoa etii
 
Hamisa Ana kaushamba Fulani.
Anatakiwa ashindane na zari kitandani sio Instagram.hauwezi kuwa namba moja bila kupitia mbili. Na kuipata namba moja ni bidii yako tu.
Kitandani kesha mshinda siku mingi
 
Nani kakwambia wenye akili ni wasomi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…