Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

She is just 24??. Anadai yupo na mondi huu mwaka wanaingia mwaka wa 10 wa mahusiano. Kwahyo alianza kudate na mondi akiwa na 14 years??. Jamani hamisa atakua ana miaka 27-28 [emoji1][emoji1][emoji1]
Hamisa mtoto tu she is jus 24 suala la mapenzi utotoni kwa nchi za kiafrica sio la kushangaza ht kidogo njoo mashuleni ukutane na vitoto vya form one vina mabwana!!

Nenda vijijini vitoto vya 12yrs vimeolewa no wonder in Africa ni mabinti wachache ambao wanaanza mapenzi after 18yrs kwa hili tusiwe wanaafiki kwa kua hamisa ni celebrity ila ukweli wa lini tulianza kuamsha dudeee[emoji1] [emoji1] Mungu ndo anajua na nafsi zetu zinaona

Mseme tuu mmechomekwa haswaa hamisa kuitwa mama dully!
 
Nani kakwambia wenye akili ni wasomi??
Mkuu kuna vitu viwili unakuwa na akili kwa Sababu ya usomi au unakuwa na akili kutokana na jinsi unavyojitqmbua...hii mbuzi haijitambui kabisa inajiharibia everything yan mm Mwanaume siwezi tembea na mwanamke asiejiamin kama mobeto
 
Diamond hajao kakaaa ana mahawara tu
Msiwape vyeo hivyoo
Sawa hajaoa. Mwenzie zari mjanja. Anakula na bwana Sahani moja. Anagongwa kiakili na malengo.
Huyo mwenzenu anazalishwa anaachwa.
Mshaurini atulie. Mwenzake katulia na ukweni anakubalika. Kubeba shahawa za diamond ndo Iwe shida? Je Angezaa na bill Gates au Carlos Slim ingekuwaje?
Mwambieni aache ushamba. Ila Kama mnaona Sisi tunamuonea wivu hayaa.
Bwana atamkosa na madale jina limeandikwa zarina Hassan.
Mwenzake Ana akili.
 
Mkuu kuna vitu viwili unakuwa na akili kwa Sababu ya usomi au unakuwa na akili kutokana na jinsi unavyojitqmbua...hii mbuzi haijitambui kabisa inajiharibia everything yan mm Mwanaume siwezi tembea na mwanamke asiejiamin kama mobeto
Umetumia criteria zipi kuthibitisha kuwa hamisa hajitambui?? Au ww ndio hujitambui
 
She is just 24??. Anadai yupo na mondi huu mwaka wanaingia mwaka wa 10 wa mahusiano. Kwahyo alianza kudate na mondi akiwa na 14 years??. Jamani hamisa atakua ana miaka 27-28 [emoji1][emoji1][emoji1]
Yule mburula ana miaka 27 eti lenyewe lilivyo kizibo linadai Lina miaka 20
 
Uliyo yaandika yanasadiki jina lako..kweli we mjinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawaida wadada wa mjini kupunguza miaka.

Kuzaa ameshazaa kitanda hakizai haramu ila ndio ivyo airtime hamna masikin[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Kitandani kesha mshinda siku mingi
Tunaambiwa Sisi tunamuonea wivu hamisa kuzaa na diamond[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1].nimebaki na Cheka tu. Ila mwisho wa siku atakuja kujionea mwenyewe. Unagongwa unazalishwa unaachwa
 
[emoji2] madale kuandikwe zarina hassan?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kigoma hatoki boyyy weweew!!
Zari hana kugongwa kwa akili wala nini kashikwa pabaya watoto wa5 atamtaka nani?!!ngoja ajipendekeze kwa mondi huyoo mla viporo!!

Mama daimond wala hampend zari anamnafikia kwa maslahi ya mwanawe tuu!!

Hamissa sio mjinga kama mnavyomuona nyie tatizo wabongo mna husdaa mnooo,mnaumwa kabisa kaahh!!
 
Umetumia criteria zipi kuthibitisha kuwa hamisa hajitambui?? Au ww ndio hujitambui
Mkuu hivi endapo hamisa ni mdogo wako utapendezwa na ujinga anaofanya?

au mtu uliezaa nae utajisikiaje ukiona anauelekeo wa hamisa
?
Waza kama baba wa familia na mlezi mkuu utajua nqmaanisha nini
 
Sasa hamisa amepata nini mpaka sasa kwa diamond? Mjazeni tu ujinga. Anapoteza haki za mtoto
 
Mkuu hivi endapo hamisa ni mdogo wako utapendezwa na ujinga anaofanya?

au mtu uliezaa nae utajisikiaje ukiona anauelekeo wa hamisa
?
Waza kama baba wa familia na mlezi mkuu utajua nqmaanisha nini
Usipaniki kwa mambo yasiyo kuhusu bro..
 
TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawaida wadada wa mjini kupunguza miaka.

Kuzaa ameshazaa kitanda hakizai haramu ila ndio ivyo airtime hamna masikin[emoji26][emoji26][emoji26]
Hamisa form four kamaliza 2011 au 2012 kama sikosei Tandika Secondary School
Airtime huwezi iona kwa kua humpendi my advice mshauri diamond amchumbie ht kwa bahati mbaya zari maana watoto watano 42yrs hata barua ya uchumbaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli ndoa bahati anaziniwaaa tuuuu kila sikuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…