Chid benz amupigwa mkwara mzito chin bees

Chid benz amupigwa mkwara mzito chin bees

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu

Habaali kamili


Msanii wa kizaz kipya chid benz amempiga mkwara wa kutosha na wa nguvu msanii mwenzie anayekwenda kwa jina la chin bees, chid benz kamwambia msanii huyo atafute jina jingine la sivyo atamtafuta yeye mwenyewe kwa wakati wake

Hayo yametokea baada ya msanii sheta siku moja alipokuwa anamwangali chin bees inster afu mnyama benz akiwa pemben kitu kilichofanya mnyama benz amuuulize sheta kuwa huyo ni nan, sheta bila kinyongo akamwambia ni chin bees, mnyama benz akamuuliza tena anafanya mziki gan sheta akajibu bongo freva, kitu hicho kilimfanya chid benz kupanic sana kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa hamfamu

hivyo chid benz kamtaka chin bees abadili jina halaka iwezekanavyo lasivyo atamtafuta lakin hajaweka waz atamutafuta kwa ajili ya nini

Nawasilisha

LONDON BABY
 
Mamode rekebishen pale juu isomeke kama ampiga mkwara
 
Alaf uyu chin bees ana nyimbo za ajabu kweli ....et pepeta pepeta khaaaaaaa ......na hii nyingine mpya ndo kabisa
 
Tofauti ya Wasanii wa Zamani na wa sasa unaanzia kwenye Majina ya Kisanii......

Wasanii wa zamani majina yao yalikuwa ya kiume kweli.... Vijana wa sasa majina yao ya kike kike na uvaaji wa kike kike.


Wasanii wa zamani.
#1. Mr 2 Sugu
#2. Prof. J
#3. Juma Nature
#4. Afande Sele
#5. Balozi
#6. Solo thang
#7. Inspecta Haroun.
#8. Kala Pina.
#9. Mwana FA
#10. Immam Abasi

N.k


Wasanii wa sasa
#1. Ommy Dimpoz
#2. Baraka da prince
#3. Diamond
#4. Harmonize
#5. Sheta
#6. Chin bees
#7. Mr. Flavor.
#8.



Makundi ya zamani
#1. East Coast team
#2. Gangwe Mob
#3. University Corner
#4. Mabaga fresh
#5. Tmk wanaume
#6. Nako 2 Nako
#7.



Tafakari hayo majina
 
Ilalaaaa ilaaaaaa mikono mfululu yaani papapaa papapaaa wamekaaaaa!!!
 
Duuh!.Inabidi polisi waingilie kati!.Akishampata si ni tukio!
 
Hii sio mara ya kwanza...Chid Benz na Chin bees wamewahi kukutana studio kitambo na Chid akampiga mkwara Chin bees..Leo tena anasema hamfahamu..Chid apambane na hali yake..Hizi porojo hazisaidii
 
Tofauti ya Wasanii wa Zamani na wa sasa unaanzia kwenye Majina ya Kisanii......

Wasanii wa zamani majina yao yalikuwa ya kiume kweli.... Vijana wa sasa majina yao ya kike kike na uvaaji wa kike kike.


Wasanii wa zamani.
#1. Mr 2 Sugu
#2. Prof. J
#3. Juma Nature
#4. Afande Sele
#5. Balozi
#6. Solo thang
#7. Inspecta Haroun.
#8. Kala Pina.
#9. Mwana FA
#10. Immam Abasi

N.k


Wasanii wa sasa
#1. Ommy Dimpoz
#2. Baraka da prince
#3. Diamond
#4. Harmonize
#5. Sheta
#6. Chin bees
#7. Mr. Flavor.
#8.



Makundi ya zamani
#1. East Coast team
#2. Gangwe Mob
#3. University Corner
#4. Mabaga fresh
#5. Tmk wanaume
#6. Nako 2 Nako
#7.



Tafakari hayo majina

Mtoa post nae anajiita NYAPU aka LONDON BABY..yaani kizazi hiki ni zaidi ya tatizo
 
Back
Top Bottom