Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu
Habaali kamili
Msanii wa kizaz kipya chid benz amempiga mkwara wa kutosha na wa nguvu msanii mwenzie anayekwenda kwa jina la chin bees, chid benz kamwambia msanii huyo atafute jina jingine la sivyo atamtafuta yeye mwenyewe kwa wakati wake
Hayo yametokea baada ya msanii sheta siku moja alipokuwa anamwangali chin bees inster afu mnyama benz akiwa pemben kitu kilichofanya mnyama benz amuuulize sheta kuwa huyo ni nan, sheta bila kinyongo akamwambia ni chin bees, mnyama benz akamuuliza tena anafanya mziki gan sheta akajibu bongo freva, kitu hicho kilimfanya chid benz kupanic sana kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa hamfamu
hivyo chid benz kamtaka chin bees abadili jina halaka iwezekanavyo lasivyo atamtafuta lakin hajaweka waz atamutafuta kwa ajili ya nini
Nawasilisha
LONDON BABY