Chid Benz apelekwa Bagamoyo sober house

Mpumbavu sana,hana akili,kwa kua kaingia mwenyewe kingi,hatoki.fisi sana yule. Wamuache tu afe.
 
Mungu amsaidie apone na arudi kama mwanzo
Mungu hakumshaur wala kumlazimisha kutumia hayo madudu,Vijana wanatumia maunga kwa ujinga wao,ila shida wanawapa watu wengine kabisa.Chid,Q chillah,Ray C,Ngwea na wengineo wote walikua wanajua UNGA una athar
 
hapo wanamharibu inatakiwa tu asipewe madawa, akae hata nyumbani lakini wahakikishe hapati unga, wampe msosi wa nguvu uliotimia, muda wa arosto wamwache ikiwezekana wakae mbali nae maana watamwonea huruma, taratibu ile sumu itatoka ktk damu lakini hivyo hamna kitu
 
Ni MUNGU tu atende miujiza yake ili aache kutumia hiyo kitu;
na kuacha ni yeye aamue mwenyewe kuwa sasa basi;
vinginevyo wengine huwa wanarudia poda.
Nafsi yake inataka kuacha ila mwili wake hautaki.Power of drug addiction.
 
Nikiangalia idadi ya waliomtukana Lowasa na yaliyowafika, huyu Chid Benz basi ndio tumeshampoteza, kama wapo wanaompenda wamchukuwe wampeleke kwa Lowasa amsamehe ataondoka na upako ambao utamweka huru.
 
Kumbe unga kama nyeto eehh ukianza tuu huachi.
Come back to ur normal situation ninja king kong mfalme wa ilala.
Sipendi tabia zako ila naupenda mziki wako
 
Shukran babutale & Kalapina. Mungu awazidishie roho za upendo.
 
Hivi Le Mutuz yuko wapi, sijamsikia siku nyingi, au nayeye kapelekwa Sober Bagamoyo?
 
Dah ananikumbusha Langa ,jela kifo au taasisi ndio mwisho wa uteja ,nishakua mteja utaniambia nini ,amefanikiwa kutibiwa halafu ndio aka danja R.I.P Langa
nilikuwa namuelewa sana lyrical and natural gifted of africa(langa),.kuna lile song la rafiki wa kweli alikuwa amevaa t-shirt iliyoandikwa langa rehabitation centre,mchizi alikuwa na dream ya kumiliki rehab yake,.amefariki hajaonesha hata 5% ya uwezo wake,mchizi alikuwa na kipaji sana,...R.I.P bruv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…