Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

Chid ana tatizo la afya ya akili litokanalo na matumizi kabambe ya mihadarati

Asaidiwe tiba
 
Moja ya kosa kubwa maishan n kuhis matatizo yako yabasababishwa na watu wengine wakati wewe ndio tatzo...yan utabak ukilaumu watu na hauwez kujitoa kwenye ilo tatizo
 
Mbona unazungumzia walio fel tu au wakina Jiga, Dr dre ,fa,sugu profesa ao ao wakina diamond au umeona walio fel tu
 
Kwa nn ww unaamini diamond ni malaika hakosei? tuanzie hapo kwanza.
 
Safari ipi kwenye maisha ni ya kudumu? Maana kila nacho kiona ni muda mfupi
 
Kwanini usitoe na mifano ya wasanii waliofanya vizuri na wako vizuri kiuchumi kwa miaka mingi, maelezo yako hayatikuwa yamekamilika bila kutaja kazi ambayo imebarikiwa na wahusika wanakuwa na mafanikio ya milele
 
Mafanikio ni kitu kipana ,mfano Jide unaweza ona amefanikiwa kipesa lakini kiuzazi yeye ni kapuku. So inaweza kuwa kielimu, mahusiano n.k
Sema tuangalia mwisho wa wanamuziki huwa vipi.
 
Moja ya kosa kubwa maishan n kuhis matatizo yako yabasababishwa na watu wengine wakati wewe ndio tatzo...yan utabak ukilaumu watu na hauwez kujitoa kwenye ilo tatizo
Ndipo shida ilipo. Na hii imemfanya hata q chief mpaka leo amekuwa mtu wa kulalamika.
Maisha hayajawahi kuwa rahisi. Inawezekana kweli wanakuzibia lakini ukikaa unalia utabaki hapo hapo la msingi ni kupambana. If you cannot fight them, join them.
 
Diamond tunamjua, na Chid Benz tunamjua, wewe ni nani?
 
We kweli fala unataja waliokufa mpaka wakina ni kidude kwamba ukifanya mziki unakufa usipofanya mziki hufi

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…