Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

Sasa watu wa Yanga si mumpe hela jamaa (mshabiki wenu) amewatangaIa jersey yenu, tena alivaa mpya kabisa hata label hajatoa
 
Chidi ni mental case usimchukulie serious.
 
Mafanikio ni kitu kipana ,mfano Jide unaweza ona amefanikiwa kipesa lakini kiuzazi yeye ni kapuku. So inaweza kuwa kielimu, mahusiano n.k
Sema tuangalia mwisho wa wanamuziki huwa vipi.
kazi gani ambayo mwisho wake unakuwa mzuri.
 
Bullshit. Unajua duniani kuna wanamuziki wangapi ambao huwa wanaishi mpaka wanakufa bila matukio tata? Kazi yoyote duniani lazima itakuwa na some casualties kwa sababu mbalimbali.
 
Mkuu ungetujuza kilichotokea mwanza hadi mchongo ukafa
 
Wewe msssssenge innocent dependent unapenda kuongea uongo kisa tu dayamondi anakutatua marinda. Wewe matterco lokole tunakujua vizuri shoga wewe mpigwa miti
 
Acha kukariri mkuu.
Km hao uliowatolea mfano kuna step walikosea kwani ni dhambi kwa wengine kukwepa?
 
Jamani hiki kipndi cha baby Kabae sikielewi...mbona wanamuhoji sana mama yake Chid mpk keroo...
 
Jamani hiki kipndi cha baby Kabae sikielewi...mbona wanamuhoji sana mama yake Chid mpk keroo...
Umaarufu unatafutwa kwa lazima kipindi kimepata pakushikia ndio wanang'ng'ania hapo
 
Na jigga vp ? Ni bilionea wa dola unajua hilo?
 
Umeniharibia jumapili yangu kwa kusoma hii comment ya kipumbavu zaidi kwa mwaka huu. Mtu yeyote anaweza kumbwa na balaa na kujikuta kwenye matatizo.
 
Kwa nini wimbo wake hamkuutoa oficially kama mlivyomuahidi/kubaliana?
 
Umaarufu unatafutwa kwa lazima kipindi kimepata pakushikia ndio wanang'ng'ania hapo
Yani mama wa watu kaishiwa maelezo lakini wapi yupo nae tuu...mama anaonekana ana uchungu mzito yy kakazana kumuhoji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…