Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

Mkuu, yaani Jide ana miaka zaidi ya 60? Labda miaka 40 na kitu
Hahaha nilikua na exaggerate tu Ili kuonyesha komando wetu kasavaivu kwenye game kwa muda mrefu siunajua Tena siasa za mtaa 😁😁
 
Hahaha nilikua na exaggerate tu Ili kuonyesha komando wetu kasaivu kwenye game kwa muda mrefu siunajua Tena siasa za mtaa 😁😁
Nimekuelewa mkuu, ila Jide naye amedumu sana kwenye muziki
 
Nakubaliana na hili, watu wengi wafundishwe msaada sio jambo la lazima na la kulaumu kwa nn husaidiwi
 
Kwani hakuna wafanyabiashara mtaani wasiofulia ?
 
Chid benz na gentamycine ni pete na kidole wote ni mental case wanahitajika kuwa Mirembe.
 
Mbona unazungumzia walio fel tu au wakina Jiga, Dr dre ,fa,sugu profesa ao ao wakina diamond au umeona walio fel tu
Kaka DE CAPRI DON naomba namba yako ya whastapp,nimejaribu kuja pm ila acaunt yang inasumbua
 
Mafanikio ni kitu kipana ,mfano Jide unaweza ona amefanikiwa kipesa lakini kiuzazi yeye ni kapuku. So inaweza kuwa kielimu, mahusiano n.k
Sema tuangalia mwisho wa wanamuziki huwa vipi.
Kaka nina shida na wewe naomba namba yako ya whatsApp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…