Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Kuna stage ilifika bongo hutoki bila sauti ya chidi kuwa kwenye nyimbo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kina mwisho mkuuuKuna stage ilifika bongo hutoki bila sauti ya chidi kuwa kwenye nyimbo yako
Kweli mzee... mwana sa hivi ni kuunga unga tu... gape lishasepaKila kitu kina mwisho mkuuu
Kutawala kwa zamu tu muda wake ushaenda na maji 💦💦Kweli mzee... mwana sa hivi ni kuunga unga tu... gape lishasepa
Yap we gotta learn from that in our hustlesKutawala kwa zamu tu muda wake ushaenda na maji 💦💦
Leo nilikua nasikiliza mkasi salama na lord eyes....We are not perfect any time u can be Cheed benz........God help him..........
Mlezi mkuu huwaga ni MUNGU,Huyu hajashindikana
Huyu anaupenda unga
Huyu anajuwa kuna watu wapo watamsaidia,kumbembeleza,petypety
Mtumiaji wa madawa haachi kwa kubembelezwa,sijui mnamkodia gari
Mnampeleka rehab kama mnaenda piknik...Noo
Huyu kwa sasa waachane naye mpaka mwenyewe aseme sasa nataka nitoke huku...kutoka moyoni mwake
Ova