Chid Benz hali tete

Chid Benz hali tete

We are not perfect any time u can be Cheed benz........God help him..........
Leo nilikua nasikiliza mkasi salama na lord eyes....
Alisimulia mengi sana kuhusu madawa mpk yeye kukaa mteja na baadae kukaa sawa....

Anasimulia madawa ya kulevya yata kumaliza kimwili, kiakili na kiroho...... repair yake sio rahisi.....

Rai waziri wa sanaa na michezo amchukue aweke nguvu hakika atabadilika na kua ushuhida

Na mengi ya kuandika Kwa Sasa naishia hapo...
 
Huyu hajashindikana

Huyu anaupenda unga

Huyu anajuwa kuna watu wapo watamsaidia,kumbembeleza,petypety

Mtumiaji wa madawa haachi kwa kubembelezwa,sijui mnamkodia gari
Mnampeleka rehab kama mnaenda piknik...Noo

Huyu kwa sasa waachane naye mpaka mwenyewe aseme sasa nataka nitoke huku...kutoka moyoni mwake

Ova
Mlezi mkuu huwaga ni MUNGU,

Brother chid asaidiwe kutoka Hilo shimo alilo ingia..
Najua
it's too late to catch a moving train

Nacho jua chid Kwa Sasa physically, mentally, spiritually vyote vipo DAMAGED
REPAIR YAKE SIO RAHISI IT TAKE MORE AND MORE TIME
RAI MWANA FA,
afanye kitu then chid benz akikaa sawa atumike kama ambassador kuwa
fundisha vijana kua madawa ya kulevya Yana poteza future..... with a case study
 
Back
Top Bottom