Chid Benz: Majizo alitaka kunipa elfu 50 kwenye mziki mnene

Ninachokiona kuna siku hata hao wasanii wanaoisifia wcb nayo wataanika madhaifu yao mana kwa sie wafanya biashala tunajua hakuna mfanyabiashala asiyemnyonya kijakazi mana kawaida tunaangalia faida na najua huu ni mwanzo
 
Shida wengi wetu tunamzalau dudubaya wakati jamaa huwa ana point sana kuhusu unyonyaji wa wasanii


Dudubaya anasemaga sana kuhusu unyonyaji wa wasanii

Sent using Jamii Forums mobile app
napendaga sana kumsilikiza jamaa anavyopondaga kuhusu hiz mambo ..anaongea huku mwenyewe anachekaaaaaa.Huwa ananichekesha sanaa
 
Hii nchi ni ya "witch hunters" tu kabla walilalamikiwa wadosi kwenye mambo ya mauzo ya Album.

It's business kama haikufai unaenda wanakokufaa.
 
Ila elfu 50 kweli?dah EFM hapo mmetia aibu.Yani yale ma punchline ya chidi na amshaamsha yote ile aliyonayo kwa elfu 50.Duh
 

Tunaomba interview ya Richard Mavoko akikili kwa kinywa chake kuwa amrshindwa kuendana na kasi ya Usafini ili itumike kama Reference
 
Ni aibu sana kama ni kweli!Yaanii Majizzo......Haaahhhahh daaa Tz hii! Wacha Diamond apige tu kazi upuuzi kama huu unachosha.
 
Asipoelewa hapo usitumie nguvu nyingi kumuelewesha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
U team umewakaaa hawachambui mambo

kelphin kepph
 
Fact boy
Jamaa yangu mmja alitaka kuvunja mkataba na company tulokua tunafanyia kazi
Akaambiwa alipe million 6!!!!!
Akaona Bora aendelee tu

kelphin kepph
 
Bado kuna watu wanamlaumu diamond kwa maisha haya ya sasa ? Mastaa wengi wana majina lakini hawana kitu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course mzee
Kunavitu vyakujifunza kutoka kwake jamaa anapambana
Anaangalia fulsa
Hachoki kujaribu
Hata kama anakosea baadh ya vitu
Ila kunamambo yakujifunza kutoka kwake

kelphin kepph
 
Halafu Majizo atakuja kuhojiwa ametusuatusua vipi mpaka amekuwa millionaire atajibu 'FOCUS' hawezi kusema mishe kama hizi zimechangia kumtajirisha
 
Laiti watu wangejua uhalisia wa maisha wa hawa wasanii wao pendwa.....
 
Clouds na Efm ni wanyonyaji wakubwa.....Wamefeli kumnyonya DOMO ndio maana hawapigi nyimbo zake
problem ni mtoa mada hajaweka video clip kuonyesha kitu alichoongea chidi ndio maana umekuja kufanya assumption. kasema kafanya fiesta kalipwa over one million per show, na kafanya wasafi wamemlipa vizuri sana, sasa efm wanampigia simu wana elf 50.
 
problem ni mtoa mada hajaweka video clip kuonyesha kitu alichoongea chidi ndio maana umekuja kufanya assumption. kasema kafanya fiesta kalipwa over one million per show, na kafanya wasafi wamemlipa vizuri sana, sasa efm wanampigia simu wana elf 50.
Mkuu sidhani kama wengi wanaochangia humu wameisikiliza hiyo interview...
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…