Chid Benz msimamo wake kwa Katambi umeleta gumzo. Jamaa hajaonesha unyonge

Walikosa nini?
 
Huyo Katambi na uwaziri wake lakini hana uwezo wa kumuamrisha Mkuu wa mapolisi ndio maana hata Chid amepita humo humo.
 
Ndugu Chizi Maarifa , naomba nijue kama miwani yangu nayo imekufa au ni akili yangu inanichezea shere!
Hapo nani yupo mbele!!?
Ni Chidi Benz au ni huyo Katambi!!???
 
Sijajua viongozi kama huwa wanaamini kuwa nafasi walizopewa sio kwa kuwa wanaakili sana kuliko raia bali ni vipaumbele na ukweli kuwa hamuwezi kuwa wote kwenye kiti kimoja.Unawaita watu kama vile wanafunzi wakati hao watu ni matured
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…