Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!

Kwa kweli kwa upuuzi huo Makonda naona bado ana kazi kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanahukumu kwa habari za mtandaoni.....

Hawaombi kuwekewa chanzo cha habari ili na wao wakajionee wenyewe na kujiridhisha kuwa ni kweli.........

Pengine alikuwa anazungumzia tu katika Hali ya masikhara.........!!!!

Mbona watu wengi tu ni watumiaji wa hiyo kitu lakini ni waongeaji wazuri na wengine ni viongozi went.....mipira na vyama....!??
 
Usiruhusu media zikuamulie personality ya mtu fulani kwani siku zote media zipo kibiashara ili zifanye biashara ni lazima zipate attention za watu.......

Kwa hiyo muda wote wanawaza habari zitakazo shtusha umma ili wapate attention.....bila kupima taadhima ya habari hiyo.......

Bahati mbaya media za kwetu zimekutana na hadhira zinazopokea mambo kama yalivyo pasipo kushirikisha fikra zao........

Mimi bado naamini kuwa hata kama kweli ameyasema hayo itakuwa ni katika hali ya masikhara kama ambavyo sisi tunavyofanya masikhara........

Ingekuwa kila masikhara tunayoyafanya yanaonyeshwa hewani si wote tungeonekana vichaa....!!?

Don't be too quick to judge
 
Sacrament haina madhara yeyote ndio maana inatumika kwenye ibada takatifu

Weed for health and wisdom
 
Hahaaaaaaa kweli unga hauwez muacha MTU salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watatengeneza CALIFORNIA LOVE REMIX.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Wataalamu wa saikolojia wapo kusaidia hao watu lakini hawatumiki vilivyo, rehab nyingine biashara tu, amekaa Sana rehab huyo sema chid nae hajawa committed kuacha,, mungu amsaidie !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kwa theories mbalimbali nilizosoma na kuzifuatilia mpaka sasa naamini ni kweli Shakur yupo Cuba na atajitokeza mda si mrefu, ila huo ukaribu ambao chid ameuelezea kati yao ndo bado nna wasiwasi nao. Jamaa bado anasumbuliwa na maradhi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…