Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

napenda kuendelea kuzungumza ingawa sijui ninani atanisikia..!?,ila nitasema kuumbea na mambo mazuri ni jambo jema sana,mungu anasema ukimnyima maji yakumywa adui yako hilo ni kosa au chakula,watu hufurahia kabisa adui yako akiwa anaumia una sahau kuwa na wewe ni adui wa mwengine,hii yote inasababishwa na kupotea kwa maneno ya mungu vifuani mwa wanadamu,ila hata hivyo kwangu mm hainipi shida kwa kuwa mungu ataleta siku ya kuhukumu,bac kama unahisi mungu kakutuma pesa tafuta kwanguvu mpelekee,kama kakutuma mali tafuta kwanguvu sana mpelekee na kama hakukutuma hivyo vyote bac tafuta alichokuma mpelekee. hahahahahahaaaaaa "mtu mpaka sasa hujui adui yako nani utashinda kweliiiii.....!!!!?"
 
Safi nd. Deo mi nlitegemea kwanza yeye akiri mbele za Mungu kwamba alichokuwa anafanya ni kosa kubwa si tu mbele za Muumba bali mbele za sheri pia, naomba pia mahakama itoe adhabu kali sana kwa huyu mshenzi ambaye wajinga huwaita vioo vya jamii
 
.. pendolyimo hii dunia matatizo yapo kwa kila mtu inaweza mkuta mtu yoyote
 
Last edited by a moderator:
Duu hii kali hadi huyu ahitaji maombi ili aachiwe la si kwa Mungu huyu muumba wa mbingu naona and ardhi itakuwa wa mwing ine.
 
Safi nd. Deo mi nlitegemea kwanza yeye akiri mbele za Mungu kwamba alichokuwa anafanya ni kosa kubwa si tu mbele za Muumba bali mbele za sheri pia, naomba pia mahakama itoe adhabu kali sana kwa huyu mshenzi ambaye wajinga huwaita vioo vya jamii

Hii kweli,aende hata miezi mi3 tu inamtosha
 
Apigwe miaka mingi iwe fundisho. Unga unawamaliza vijana.
 
Mi nawaombea wale wa ebola ye anisamehe tuu
 
kweli kabisa mkuu tatizo kuna watu hawajawahi kukutwa na balaa hizi au kuwa na ndigu/rafiki anaye tumia hii kitu

Makalio yanapofanya kazi ya ubongo,haya ndo matokeo yake..
 
Hivi huyu Mungu ambaye hana kazi ni huyu Mungu wa mbingu na ardhi au?

Kuna watu wangapi wenye shida za kweli wanahitaji kusikilizwa maombi yao,leo hii huyu Mungu akae asikilize maombi ya mtu anayejitakia matatizo?

Ngoja sisi wengine tuliombee taifa letu likombolewe dhidi ya hali ngumu ya maisha inayosababishwa na uroho wa viongozi wachache tu.

Wewe Chidi subiri tutakapomaliza maombi yetu kama bado upo jela tutakufikiria.
 
Alisikia neno la mungu na kulitupa,asubiri haki yake."mungu ni wa haki,asubiri haki yake".
 
usihukumu usije hukumiwa hakuna alie msafi yeye janga lake mihadarati nawe unajanga lako huko sijui uzinzi ufisadi kuiba wake/waume za watu mwizi nayote yanayo endana na hilo kwa MUNGU hakuna dhambi kubwa wala ndogo usipojisikia ku coment bora ukae kimya kuliko kumsema vibaya huyo chid benz we una mabaya mangapi umeyaficha kwapani, ishaalah kaka chid nivizur umejua kosa lako MUNGU akusamehe akuwekee wepesi kesi ikuendee vema ikiwezekana ifutwe kabisa one love kwa watumia madawa wote nawaombea kwa MUNGU awasaidie muache kutumikia hiyo adhabu maana imegharimu maisha ya wengi na hao wanao wauzia kubaki wakijineemesha na familia zao kupitia migongo ya watoto wa wenzao, MUNGU ibariki Tanzania.
 
Let us be serious it is a crime and should be condemned vehemently! Awataje wanaomuuzia na aanike chain yote!
 
Acha laana za rayC zimpate za kumpga na rungu la kimasaiiii!!
 
Back
Top Bottom