Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

Ukiwa unaomba unasemaje ? Kama mtu alionywa akusikia akaendelea kua mtu wa fujo nitamwambia nn Mungu sasa? Bora sheria ichukua mkondo wake aache kuchukulia poa kila kitu.
 
Hawa Jamhuri kweli ma bogus sana mtu amekamatwa na ngada kete 14 pamoja na blunts misokoto miwili then wanakuja na propaganda wanakamilisha upelelezi sasa upepelelezi gani huo? Kwani wakikamatwa watu kama hao kuna kuwa hakuna video na mnato? Chid benz waambie mateja wenzako ndio wakuombee wewe mbululaz.
 
EMMANUEL JACKSON Imagine kama kila mtu anayekubwa na matatizo angekimbilia drugs sisi wote tungekuwa mateja mbona. Nani asiye na matatizo dunia hii, nani ambaye hajapita kipindi kigumu katika maisha yake, matatizo yanatofautiana lakini haya ya wasanii wetu na wengine all over the world mengi ni ya kujitakia.

kila mtu anapata matatizo, kinachotutofautisha ni jinsi ya ku-handle stress zinazosababishwa na hayo matatizo.

Mwengine anaona bora ajiue, mwengine madawa na mwengine ndio anaishia kwenye pombe.
Yeye ni victim na siyo msambazaji.
Hata adhabu zao zinakuwa tofauti
 
Last edited by a moderator:
Ray C akiwashauri wanajidai wajanja saaaana eti wanajua wanachokifanya. Tena kwa kiburi kabisa akamtandika dada wa watu na rungu, yule mwenzie T.I.D naye akamtukana Ray C mpaka basi! Haya leo anahitaji maombi ya nini? Heeeeyyy!!!

I second you Dinazarde, kuna watu Africa Magharibi wanakufa kwa ebola, my prayers are with them .....victims out there......hawa wanaojitakia na vichwa ngumu vyao tuache kwanza wajifunze!
 
Mimi mpaka hua nalia nikiona waafrika wenzangu wanavyokufa na ugonjwa wa ebola,leo et niliombee hili le chidy bajaji mfyuuuu mama yake yupo amuombeee sie tupo busy na kuwaombea wengineee
 
Muombee huko acha roho Mbaya.....
 
Mimi mpaka hua nalia nikiona waafrika wenzangu wanavyokufa na ugonjwa wa ebola,leo et niliombee hili le chidy bajaji mfyuuuu mama yake yupo amuombeee sie tupo busy na kuwaombea wengineee

Cha ajabu anaogopa jela ila haogopi dhahma ya haya madawa!!

Huyo apewe tu adhabu yake basi, hili ndilo ombi langu kwake. Huyu kijana ameshauri mara nyingi haonyeshi hata kujali, ngoja ashituliwe kwanza ili akili ikae sawa."

Speaking of ebola mae, we acha tu inauma mnooo!
 
Huyu alipaswa kuchapwa viboko kama 30! Sidhani kama atafungwa maana na yeye ni muathirika wa madawa japo sheria inaonesha adhabu ya hii issue hua ni kifungo kirefu kwa Tanzania! Lakini Nina hakika huyu Mgonjwa wa akili hawezi kufungwa na hata akifungwa haiwezi kuzidi miaka 2 au fine million kadhaa!

Huyu jamaa anapaswa kuchapwa viboko kabisa na baada ya halo apimwe akili kabisa!
Huyu kumfunga ni sawa na kumpa death penalty
 
Usikute na yeye huwa anawaombea "vigogo wa unga" wanusurike pindi wanapotiwa nguvuni.
 
Ahsante ni maombi kwa CHID yamesikika,kesi imepelekwa mbele
 
Kila binadamu hukosea kwa njia moja au nyengine,mtu anamuombea adui yake kheir henda akabadilika akawa mtu mwema seuze huyo kijana,inshallah mwenyezi mungu atamjaalia salama na amfungue macho asirudie tena....
 
Back
Top Bottom