Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

Chid Benz: Watanzania Niombeeni leo Mahakamani

Nina mtoto tayari....
back to topic: hicho anachokifanya ni utaahira, anaenda airport na madawa tena kwenye mfuko wa shati leo anataka maombi yapi apewe adhabu yake hakuna maombi wala nini

Hongera!
Mwl Evelyn Salt huyu jamaa ni zaidi ya chizi unajua alikwenda na vile vipini vyake kwenye pua na heren zake mahakamani ..Hakimu akamwambia akavuvue kwanza ...hapo ndipo na kubaliana nawe kuwa huyu ni chizi kabisa!

Halafu hakuishia hapo akaendelea kuwapiga waandishi wa habari mikwara wasimpige picha!

Kwakweli huyu amesha changanyikiwa kabisa alitakiwa kukaa jela hata mwaka mmoja au achapwe viboko 30 ili akome maana haya yote kajitakia!
 
Last edited by a moderator:
kweli maisha bila unafiki hayaendi! huyu chid benz ukimkuta maskani kwake katulia alafu uamue kumshauri aache ngada atakutia migumi hadi unye leo hii anakuomba umuombee!
 
Hongera!
Mwl Evelyn Salt huyu jamaa ni zaidi ya chizi unajua alikwenda na vile vipini vyake kwenye pua na heren zake mahakamani ..Hakimu akamwambia akavuvue kwanza ...hapo ndipo na kubaliana nawe kuwa huyu ni chizi kabisa!

Halafu hakuishia hapo akaendelea kuwapiga waandishi wa habari mikwara wasimpige picha!

Kwakweli huyu amesha changanyikiwa kabisa alitakiwa kukaa jela hata mwaka mmoja au achapwe viboko 30 ili akome maana haya yote kajitakia!
Ahsante rutta, madawa yashamuathiri....kile kipindi kaenda kumpga ray c kisa eti ray c kamsaidia dem wake kuacha kutumia madawa yeye chidy alikuwa hataki huyo dem aache, ukiangalia mambo anayofanya anaonekana kabisa akili zake sio nzuri.
kabla hajaenda mahakamani wangeanzia hospitali apimwe.
 
Last edited by a moderator:
Ili uvute madawa zaidi na watz tupeteze muda kwa ajili yako nadhani ungetuomba msamaha kwa kupiga watu ukielezwa unavuta unabisha
 
Huyo ni Kenge mpaka apigwe masikio yatoke damu ndio atasikia,tupa ndani mvua tano ili asikie nini anachoshauliwa kila kisu
 
Ahsante rutta, madawa yashamuathiri....kile kipindi kaenda kumpga ray c kisa eti ray c kamsaidia dem wake kuacha kutumia madawa yeye chidy alikuwa hataki huyo dem aache, ukiangalia mambo anayofanya anaonekana kabisa akili zake sio nzuri.
kabla hajaenda mahakamani wangeanzia hospitali apimwe.

Yani huyu jamaa ana tatizo kubwa Sana la kiakili na wakimfunga huyu atakuwa anafanyiwa vibaya huko jela kwa hali aliyo nayo!

Mimi nilitegemea at least angeanza kubadulika kabisa na pia nilitegemea angewaomba mashabiki wake msamaha na jamii kwa ujumla ...hapo ndio niliamini sio mzima wa akili kabisa! Kwakweli huyu anatakiwa kupimwa kabisa....yani hajutii kabisa!
 
Back
Top Bottom