hii habari haipo balance kabisa kwanini wameshindwa kumtafuta Chid Beenz nae asikike anasemaje!
Thats is rule of natural justice hearing both sides
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii habari haipo balance kabisa kwanini wameshindwa kumtafuta Chid Beenz nae asikike anasemaje!
Thats is rule of natural justice hearing both sides
Hii jaman mwaego usinifanyiage hivyo mwenzio
Mi nishakugayaaaa
nkoooi usimfanyie hvyo mwenzio
Yaan huyu binam leo namlia mabakuli mawili ya futarii
kumbe wewe hujaisoma vizuri habari hii, wanasema walimtafuta Chid ili adhibitishe tuhuma hizi ila simu yake ilikuwa imezimwa au kwa lugha nyingine alikuwa hapatikani.
Chidi ni kama anapotea,majuzi aliripotiwa alifanya shoo Dodoma uku akiwasha bangi jukwaani.
Wabeja mayo
Leo nipo off binamu si unajua mambo ya weekend, kazin narud kesho saa kumi na mbil hasubuh nipo apa kuendeleza ligwaride
Mabaunsa hawakuwepo? wakamshusha?
Umeongea maneno ya watu milioni 45. Saluti kwako.
Ova.
AIBU YA MWAKA: MSANII CHID BENZ AVUTA BANGI UKUMBINI, ATISHIA KUMPIGA DJ NA ATOROKA BILA KULIPIA CHUMBA CHA GUEST
![]()
Hapo Chidi Benz akiwa kashikiwa bangi na Shabiki wake na kutoa kibiriti cha gesina kuiwasha kama unavyoona hapo
Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa sasa ameshaanza kuwa chizi.Wakati akiwa anafanya Show baada ya mzuka kumpanda Chid alichafua hali ya hewa baada ya kuzama mfukoni na kutoka Bonge la kipisi cha Bangi kilichoshiba na kukiwasha pale pale jukwaani bila hata Uwoga...Hapo ndipo Baunsa wa Maisha kabla akambadilikia kama Mbogo na kumpora hiyo bangi ili asiendelee kuivuta. Kitendo hicho cha kuvuta bangi Club kimeshushia heshima Msanii huyo ambaye ni kioo cha Jamii