Thats y nasema hatujashindwa lakini pia hatujaamua. Juhudi za kumsaka FARU JOHN zingeendana na juhudi za kuwasaka wafalme wa unga, hakika leo tungekuwa na nguvu kazi ya kutosha.Mfalme utakuta ni kiongoz wa chama na Serikal Sheria hapo huwa inakuwa sio msemeno tena
Zile hierarchy of needs....wasanii hawapitii zote....wanaruka baadhi ambazo ni muhimu. Sasa wakianza kuteremka kupitia zile walizopaswa kupitia ndio tabu inaanza
Babu yani zile nguo naona zina mwezi sasa hatamaniki kadata kesho ataanza kuokota makopo.Jamaa kiukweli kwa tunae mwona jamaa yuko kwenye hali mbaya sana tena sana yani asa kawa mteja kushinda alivyokuwa mwanzo alafu kama kadata hv maana anaongea peke hata ukizungumza nae anaonekana amedata kabisa so kiukweli jamaa anahitaji msaada tena msaada mkubwa sana ili aweze kurudi katika hali yake ya kawaida tena waharaka maana anaweza kupotea me nshawahi mwesabia siku anavyo vaa mavazi yake nguo alizo nazo asa zina siku ishirini ajabadilisha anavaa jinsi nyeusi na shati ya black na sendo mbovu kabisa anaonekana sana mitaa ya kino manyanya
Tatizo anataka V. I. P treatment na ni mkorofi ajabu ndo maana wanaona bora aondokeHii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi
Kunywa maji cousin upunguze hasiraNdio maana yule Rais wa Phillipines anaua yeyote anaye jihusisha na ngada, kule wenzetu sober house ni mochwari, madawa ya kulevya yana maliza sana vijana kwa kweli nina hasira sana hapa nilipo
Mpenzi binamu kweli wewe ni wa kuni offer maji tuu [emoji28]Kunywa maji cousin upunguze hasira
Speaking with experienceTatizo umeshakariri kuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya lazima awe na hali mbaya then mchafu mchafu, ndio maana nikasema wanatumia unga mchafu.
Wapo wanaotumia madawa ya kulevya hapa hapa bongo but their still smart na wana pesa.
Huwezi kutumia unga gredi " A " kama huna pesa.
[emoji12] [emoji95] [emoji379]
"Kwigwa kwa mbulu mpaga mininga mmatu"kusikia kwa KENGE hadi DAMU MASIKIONI...........