Chidi Benz ndiye msanii bora zaidi katika mahojiano nchini

Chidi Benz ndiye msanii bora zaidi katika mahojiano nchini

Chidbenz kwakwel n noma jamaa ana akili sana Kuna interview moja alihojiwa na bongo 5 ..inaitwa mpaka home adse jamaa alikua simple tuu ..Wala haku complicate mambo
 
anayengea si yeye, kama umeangalia vizuri kabla ya interview sanya boy alimkuta na kitu flani hivi anavuta!
 
Back
Top Bottom