Chidi Benz ndiye msanii bora zaidi katika mahojiano nchini

Chidi Benz ndiye msanii bora zaidi katika mahojiano nchini

Ukichunguza aliyeandika uzii huu nawanao comenti ote niwavuta bangi
 
Nimefuatilia interview aliyofanya na Wasafi Media kupitia Kipindi cha Hivi ni kweli! Jamaa anajua Sana kujieleza kwenye Interviews

https://youtu.be/5J0dNKYZ09s

Nimekuwa nikifuatilia interviews Zake nyingi sana,Hakika Chid Benz naweza Sema ndio msanii wa Kwanza Tanzania Kwa Kujieleza Vizuri kwenye Interview

Over

Yuko vizuri

Pia yuko positive

Hata ukimwambia fulani kakutukana atasema "mimi sijamsikia, nitaamini akiniambia usoni"
 
Back
Top Bottom