princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
wananichekeshaga sanaHawezi kuvumilia maswali,kila atakachoulizwa anachukulia person,huyo mtu si mzuri katika interviews,uzuri wa interviews unajibu kila swali utakaloulizwa mambo ya sijui no comment au siwezi kujibu au kupanic ni kuonyeshwa wazi hawawezi interviews.
bongo interview wafanyie wafanya biashara ndio utaelewa kitu