Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Kumbe utajiri wa kise. nge. Sasa hayo magari anamtambia nani! KAMA sio. madem
 
Hii imekaaje,jamaa kaumbuka kumbe yale manoti anachonga mbao na kuzikata size ya mabunda ya manoti na kupiga rangi halafu juu na chini anafungia noti halisi ya sh 10,000 kwa raba bendi. Kuna video pia imeonekana kakata maboksi halafu kavifungia na raba bendi.
 
Kuumbuka huwa dk moja tu😁😁😁
 
Matajiri hawanaga kelele
Hawanaga mambo ya kupiga
Picha na hela,wala kubeba maburungutu

Ova
Mkuu nimewaza,lakini zile nyumba na range rovers anapiga misele tusemaje?kwenye hela tumempata, Yule jamaa kuna something wrong ,ila kufanya show off na mbao kweli?zile hela anaziazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…