Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Kwao napajua na mpaka duka lake la ipinda kyela nalijua, sema sijui anapiga mishe gani zingine...Uliwahi kufika kwao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwao napajua na mpaka duka lake la ipinda kyela nalijua, sema sijui anapiga mishe gani zingine...Uliwahi kufika kwao?
Sawa mkuu chief kumbyambya!Kwao napajua na mpaka duka lake la ipinda kyela nalijua, sema sijui anapiga mishe gani zingine...
Majini hayana pesa vinginevyo masikini wasingekuwepoZa majiniii[emoji3][emoji3][emoji3]
pesa za kichawiii zipo kibaooo wew ni mtu mzima na unalijua hilooMajini hayana pesa vinginevyo masikini wasingekuwepo
Hakuna kitu kama hichopesa za kichawiii zipo kibaooo wew ni mtu mzima na unalijua hiloo
siku njemaa mjukuuu wanguHakuna kitu kama hicho
Sawa mtotosiku njemaa mjukuuu wangu
Kumbe utajiri wa kise. nge. Sasa hayo magari anamtambia nani! KAMA sio. mademNi mshamba mmoja hv alieziotea hela kiasi za 'masharti' anawavimbia wajinga na washamba wenzie huko isnta na tiktok... yaan kiufup ni limbukeni ! Sio kwamba nna muonea wivu hapana nyie fatilieni video zake huko mtajiridhisha.. unakuta kabeba mbwa wake kawafunga na minyororo ya kuvutia gari au mikanda ya mabegi alafu anawavimbia watu kuwa anaenda kuwanunulia mbwa wake gari crown kwa ajili ya kuendea beach au kwenda kuoga!
Nilichoka siku ingne kapost vyakula flan vya mbwa ambavyo ni very cheap food kwa mtu kama yeye anaevimba... watu walimchana sana aache ushamba... kiufupi ni jamiii ya kina kinasa msukuma ... yaan ni ile mtu hajawah kuwa exposure na maisha ya mjini alafu yupo huko uswekeni kaziotoe kaamua kuja nazo mjini so kila anachokiona cha thaman anawavimbia watu bila kujua kuna wengine wanakichukulia very cheap sana!!
Mwisho: Jamaa hela zake ni za masharti kuwa haruhusiwi kuwa na mahusiano na mwanamke ndo maana sio rahisi kumuona ana hang na wanawake katika mtindo wa kutaka kuchakata mbususu... yaan yeye akichakata mbususu tu kaisha! Sasa utajiri bila kuchakata mbususu ni u mbululazzzz!!
Kuumbuka huwa dk moja tu😁😁😁Hii imekaaje,jamaa kaumbuka kumbe yale manoti anachonga mbao na kuzikata size ya mabunda ya manoti na kupiga rangi halafu juu na chini anafungia noti halisi ya sh 10,000 kwa raba bendi. Kuna video pia imeonekana kakata maboksi halafu kavifungia na raba bendi.
Watu wa mikoani mnaonaga tunawasimanga ila mna matatizo sana.Wapumbavu wasio na pesa wana wivu wa kimaskini huyo ana pesa, kubali matokeo kama mbwa ni mbwa tu na kama huna pesa huna pesa ikogo hivyo tu.
Mkuu nimewaza,lakini zile nyumba na range rovers anapiga misele tusemaje?kwenye hela tumempata, Yule jamaa kuna something wrong ,ila kufanya show off na mbao kweli?zile hela anaziazima?Matajiri hawanaga kelele
Hawanaga mambo ya kupiga
Picha na hela,wala kubeba maburungutu
Ova