Chief Godlove ni mtu wa wapi?

Sasa anakula tu mikuku na mikitimoto atakojoa wapi!!?

Pumbav huyu
 
UShamba tu unamsumbua
 
Wote hao hamna kitu mkuu kelele tu nyingi
Sahvi bongo mtu anakuambia bilionea
Huku source ya income yake haijulikani
Mtu yuko mtandaoni kuanzia asubuhi mpk usiku kaZi anafanya saa ngapi?
Matajiri mabilionea hawanaga kelele

Ova
Pesa hazitaki kelele. Ukiona mtu ana kelele ujue hana.

pesa zinaonekana kwenye vitendo vya kimya kimya
Rich niggaz move in silence
 
Pesa hazitaki kelele. Ukiona mtu ana kelele ujue hana.

pesa zinaonekana kwenye vitendo vya kimya kimya
Rich niggaz move in silence
Mkuu,

Kila mtu ana personality yake, wapo watu wenye pesa na wenye majigambo. Mbona Rick Ross alinunua nyama ya $10000 karibia Tsh 26M kwenye siku ya kuzaliwa mtoto wake.

Mbona wasanii wengi wamarekani wanajitamba kwamba wana pesa? Nafikiri ni suala la mtu alipotokea tu.

Mbali na hivyo godlove anahamasisha vijana na huwa anaongea maneno mengi ambayo vijana yanawaumiza na hawataki kuyasikia.
 
Kuna mtu aliwahi kukutana nae anaendesha IT anavusha magari nchi jirani. Mwanangu gwamaka pia ameniambia huyu jamaa akiwa form one walimlawiti
 
Huyo Fala ni dereva wa IT.juzi kati nimekutana nae makambako.
 
Weusi blacks wakipata majigambo lazima sababu ya ulimbukeni
 
Wacha blah blah dogo.
 
Tapeli huyo sasa hivi ana skendo ya kuwaliza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…