King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Utapeli tu hapo hakuna lolote.
Ila nahisi jamaa kama ana backup ya "sirikali" ,yaani yupo kwa ajili ya kuspin mambo kwenye internet(social media).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli tu hapo hakuna lolote.
Sasa anakula tu mikuku na mikitimoto atakojoa wapi!!?Nijuacho dogo ni mzaliwa wa Ipinda Kyela, familia yake ni wakulima pia baba yake ni muinjilisti. Tangu aje mjini hana miaka mitano. Nisikiavyo ni kuwa dogo pesa yake ni ya Kwa mganga. Sharti alilopewa ni kutopiga tunda hata kimasihara[emoji1787][emoji1787].
Pesa za waganga wap yule ni dereva wa magari ya IT bandarin pesa anpgia pcha ni za watu zngne ni mavibao sio pesa pesa za mganga hazitaki majigambo Yale dogoSasa anakula tu mikuku na mikitimoto atakojoa wapi!!?
Pumbav huyu
Aisee kumbe jamaa anajikweza burePesa za waganga wap yule ni dereva wa magari ya IT bandarin pesa anpgia pcha ni za watu zngne ni mavibao sio pesa pesa za mganga hazitaki majigambo Yale dogo
UShamba tu unamsumbuaSalute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita Chief Godlove kiukweli jamaa anakula sana bata hapa mjini licha ya umri wangu wa miaka 35 naona dogo kaniacha parefu sana kimaisha.
Kabla sijampa maua yake najua humu yupo au kuna jamaa zake wanaomjua nilitaka kujua jamaa anafanya biashara gani mpaka asumbue na magari makali na nyumba nzuri yaani nika kama hush pupp fulani mdogo natamani nijue background yake anipe na mimi hamasa nirudi Njombe na VW new model.
View attachment 2655836
Pesa hazitaki kelele. Ukiona mtu ana kelele ujue hana.Wote hao hamna kitu mkuu kelele tu nyingi
Sahvi bongo mtu anakuambia bilionea
Huku source ya income yake haijulikani
Mtu yuko mtandaoni kuanzia asubuhi mpk usiku kaZi anafanya saa ngapi?
Matajiri mabilionea hawanaga kelele
Ova
Mkuu,Pesa hazitaki kelele. Ukiona mtu ana kelele ujue hana.
pesa zinaonekana kwenye vitendo vya kimya kimya
Rich niggaz move in silence
Hamna kitu hao blah blahPesa hazitaki kelele. Ukiona mtu ana kelele ujue hana.
pesa zinaonekana kwenye vitendo vya kimya kimya
Rich niggaz move in silence
Ebwana eh 😄Kuna mtu aliwahi kukutana nae anaendesha IT anavusha magari nchi jirani. Mwanangu gwamaka pia ameniambia huyu jamaa akiwa form one walimlawiti
punguza chuki mkuu....jamaa kakuzidi kubali tuKuna mtu aliwahi kukutana nae anaendesha IT anavusha magari nchi jirani. Mwanangu gwamaka pia ameniambia huyu jamaa akiwa form one walimlawiti
Waganga hawafanani mashartiPesa za waganga wap yule ni dereva wa magari ya IT bandarin pesa anpgia pcha ni za watu zngne ni mavibao sio pesa pesa za mganga hazitaki majigambo Yale dogo
Weusi blacks wakipata majigambo lazima sababu ya ulimbukeniMkuu,
Kila mtu ana personality yake, wapo watu wenye pesa na wenye majigambo. Mbona Rick Ross alinunua nyama ya $10000 karibia Tsh 26M kwenye siku ya kuzaliwa mtoto wake.
Mbona wasanii wengi wamarekani wanajitamba kwamba wana pesa? Nafikiri ni suala la mtu alipotokea tu.
Mbali na hivyo godlove anahamasisha vijana na huwa anaongea maneno mengi ambayo vijana yanawaumiza na hawataki kuyasikia.
Wacha blah blah dogo.Nimepitia thread hii na kusoma comments zote, lakini kwa bahati mbaya sana hakuna kitu Cha maana ambacho nimekibaini. Isipokuwa nilichogundua no kwamba Watanzania wengi Sana bado wako na fikra za enzi za ujima, wanapenda Sana kujihusisha na mambo ya Kiswahili-swahili ya kufuatilia maisha binafsi ya watu wengine huku maisha yao binafsi yakiwashinda. Hali hii iko tofauti sana mfumo wa maisha ya wenzetu ktk nchi zingine ambako watu wapo busy Sana ktk kukimbizana na muda kwenye utafutaji wa riziki.,
In fact, an idle mind is the devil's workshop!
Inasikitisha sana.Weusi blacks wakipata majigambo lazima sababu ya ulimbukeni
Fanya kazi halali, acha kufuatilia maisha binafsi ya watu wengine ambayo hayakuhusu.Wacha blah blah dogo.
Wacha weeeeeeeeFanya kazi halali, acha kufuatilia maisha binafsi ya watu wengine ambayo hayakuhusu.