Pennsylvania
JF-Expert Member
- Sep 25, 2019
- 335
- 503
Uliza kilichojiri SONGWE LEO.Umma upi huo wa nyuma ya keyboard, au umma wa wahuni wa saccos, au ulimaanisha uma kama " fork [emoji899]"
Wee vipi wewe?Serikali ni nani? Acha kuzungumza kitu usicho jua.
Tangulia weweNguvu ya umma ifanye kazi yake kukomesha huu uhuni.
Si ndio muendelezo wa comedy huu au wewe unaonajeUliza kilichojiri SONGWE LEO.
Msimamizi kafuatwa home na maelfu na kachomoa.
Bado hujasikia Musoma na Iringa enhee?[emoji1][emoji1]
Mtajua hamjui huu mwaka.
Mwache atamatwe! Ana ujinga sana huyo chief fake!Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa.
Njoo wanakusubiri kwa hamu!Nguvu ya umma ifanye kazi yake kukomesha huu uhuni.
Comedy.Si ndio muendelezo wa comedy huu au wewe unaonaje
Viclip fake vya kutengeneza fake mtakoma tu!Uliza kilichojiri SONGWE LEO.
Msimamizi kafuatwa home na maelfu na kachomoa.
Bado hujasikia Musoma na Iringa enhee?[emoji1][emoji1]
Mtajua hamjui huu mwaka.
Haa wapi,ni hamasa tu za mitandaoni.Hivi hawa wajinga tutaendelea kuwapet pet had lini ngoja nikanunue dumu la petroli nikae nalo. Nzishe
Hayupo wakuwadhuruComedy.
Uzuri Mkurugenzi NEC, kasawazisha mambo baada ya kuongeza muda wa kuapisha mawakala.
Vinginevyo kungetokea madhara makubwa sana.
Hata hawa wasimamizi kudhuriwa wao na familia.
Watu wana hasira haki zao zikichezewa.
Kumbe unatafuta kiki?Hivi hawa wajinga tutaendelea kuwapet pet had lini ngoja nikanunue dumu la petroli nikae nalo. Nzishe
We mwenyewe ulivyo muoga ukiona mende unajificha uvunguniHivi hawa wajinga tutaendelea kuwapet pet had lini ngoja nikanunue dumu la petroli nikae nalo. Nzishe
Tangulia tunakujaNguvu ya umma ifanye kazi yake kukomesha huu uhuni.
Upo maeneo gani nije tukunyang'anye hilo dumu haraka haraka!Hivi hawa wajinga tutaendelea kuwapet pet had lini ngoja nikanunue dumu la petroli nikae nalo. Nzishe
Tupo hapa, nitakuja kukuquote tena kukumbusha, usijali.Hayupo wakuwadhuru
Naamini vyombo vya usalama na ulinzi watakunyang'anya silaha zako haraka haraka ili usije ukawadhuru wasimamizi wa uchaguzi kama unavyodai unataka kuwadhuru!Tupo hapa, nitakuja kukuquote tena kukumbusha, usijali.
Siwezi kumdhuru mtu.Naamini vyombo vya usalama na ulinzi watakunyang'anya silaha zako haraka haraka ili usije ukawadhuru wasimamizi wa uchaguzi kama unavyodai unataka kuwadhuru!
Sio kweli,.nguvu ya umma ni kiboko ya serikali nchi zote zenye machafuko zina serikali@Maxence Melo comment za namna hii ziangalieni sana, hakuna mtu au taasisi yenye nguvu kuliko Serikali mahali popote duniani.