Pennsylvania
JF-Expert Member
- Sep 25, 2019
- 335
- 503
Uliza kilichojiri SONGWE LEO.Umma upi huo wa nyuma ya keyboard, au umma wa wahuni wa saccos, au ulimaanisha uma kama " fork [emoji899]"
Msimamizi kafuatwa home na maelfu na kachomoa.
Bado hujasikia Musoma na Iringa enhee?[emoji1][emoji1]
Mtajua hamjui huu mwaka.