Chief Odemba: Nimeanza mazungumzo ya awali ya mdahalo baina ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi.

Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
 
Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema, mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi.
Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
Mnyukano mkali kati ya wakili msomi Na DJ mjanja
 
Huyu kibaraka wa Lissu, kila siku anafanya mahojiano na Lissu lakini hajawahi kuomba kufanya mahojiano na Mbowe, Mbowe aukatae huo mtego, dogo anatumika sana. Leo ndio kaona umuhimu wa kumuita Mbowe?
 
Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi.

Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
Mbowe akishiriki ndio utakua mwisho wake, hana uwezo wa kupambana na Lissu kwa hoja.
 
Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi.

Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
Mbowe hawezi kukubali
 
Huyu kibaraka wa Lissu, kila siku anafanya mahojiano na Lissu lakini hajawahi kuomba kufanya mahojiano na Mbowe, Mbowe aukatae huo mtego, dogo anatumika sana. Leo ndio kaona umuhimu wa kumuita Mbowe?
Mbowe sio muumini wa midahalo. Toka umemjua Mbowe ni mara ngapi umemuona kwenye mdahalo zaidi ya kuhutubia?
 
Back
Top Bottom