Chief Odemba: Nimeanza mazungumzo ya awali ya mdahalo baina ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe

Chief Odemba: Nimeanza mazungumzo ya awali ya mdahalo baina ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe

Bila Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Kwa hiyo unasemaje?

Unamshauri nini Tundu Lissu; asisahau kuwa uhai wake bila ya Mbowe ungekoma? Kwani Tundu Lissu alikuwa na uchaguzi wowote katika hayo yaliyo tokea?
Angezinduka na kupiga kelele kuwa hataki msaada wa Mbowe?

Hapa una mkumbusha Tundu Lissu, na sisi wengine; tufanye nini? Tukubali kila analofanya Mbowe, hata kama si jambo jema' kwa kukumbuka mazuri aliyo wahi kufanya huko siku za nyuma?
 
Huyu kibaraka wa Lissu, kila siku anafanya mahojiano na Lissu lakini hajawahi kuomba kufanya mahojiano na Mbowe, Mbowe aukatae huo mtego, dogo anatumika sana. Leo ndio kaona umuhimu wa kumuita Mbowe?
Mbona Nchimbi wa Lumumba aliingia mitini ulipoitishwa mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama?

Kazi kusifia tu hata mvua ikinyesha mnasema ashukuriwe mama kwa mvua.
images - 2024-12-28T185328.396.jpeg
 
Back
Top Bottom