Mnyukano mkali kati ya wakili msomi Na DJ mjanjaNimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema, mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi.
Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
Kichwani empty hawezi kwendaMbowe sio boya, hawezi kukubali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbowe sio boya, hawezi kukubali
We mpuuzi Acha kukufuru, kwani Mbowe ni Mungu? Acheni ujingaBila Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Huyu ni chawa, kwa kuwa yeye anaamini mbowe ndio mungu wake anataka na Lissu awe hivi. Hana akiliWe mpuuzi Acha kukufuru, kwani Mbowe ni Mungu? Acheni ujinga
Mbowe akishiriki ndio utakua mwisho wake, hana uwezo wa kupambana na Lissu kwa hoja.Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi.
Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
Mbowe hawezi kukubaliNimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi.
Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
Bila lissu mbowe angeozea jela ukongaBila Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Naunga mkono hojaMbowe akishiriki ndio utakua mwisho wake, hana uwezo wa kupambana na Lissu kwa hoja.
Mbowe sio muumini wa midahalo. Toka umemjua Mbowe ni mara ngapi umemuona kwenye mdahalo zaidi ya kuhutubia?Huyu kibaraka wa Lissu, kila siku anafanya mahojiano na Lissu lakini hajawahi kuomba kufanya mahojiano na Mbowe, Mbowe aukatae huo mtego, dogo anatumika sana. Leo ndio kaona umuhimu wa kumuita Mbowe?
Odemba raia wa Kenya, ana kiherehere tuMbowe sio muumini wa midahalo. Toka umemjua Mbowe ni mara ngapi umemuona kwenye mdahalo zaidi ya kuhutubia?
Bado hujasema, utasema tu.Odemba raia wa Kenya, ana kiherehere tu