Unamshauri nini Tundu Lissu; asisahau kuwa uhai wake bila ya Mbowe ungekoma? Kwani Tundu Lissu alikuwa na uchaguzi wowote katika hayo yaliyo tokea?
Angezinduka na kupiga kelele kuwa hataki msaada wa Mbowe?
Hapa una mkumbusha Tundu Lissu, na sisi wengine; tufanye nini? Tukubali kila analofanya Mbowe, hata kama si jambo jema' kwa kukumbuka mazuri aliyo wahi kufanya huko siku za nyuma?
Huyu kibaraka wa Lissu, kila siku anafanya mahojiano na Lissu lakini hajawahi kuomba kufanya mahojiano na Mbowe, Mbowe aukatae huo mtego, dogo anatumika sana. Leo ndio kaona umuhimu wa kumuita Mbowe?