Uchaguzi 2020 Chifu Karumuna achukua fomu ya kugombea ubunge Bukoba Mjini, yasemekana anakubalika kwa 90%

Uchaguzi 2020 Chifu Karumuna achukua fomu ya kugombea ubunge Bukoba Mjini, yasemekana anakubalika kwa 90%

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Aliyekua Mayor wa Bukoba mjini kwa tiketi ya CHADEMA Kamanda Afrikanus Karumuna  ( 722 X 640 ).jpg

Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.
 
Chadema ni kama dhahabu kadiri unavyoitia moto mkali ndivyo inazidi kung'aa. Halafu kwanini wanachama wa chadema wana furaha sana.? Popote unapowaona nyuso zao zinamelemeta yaani. Wale wengine upande wa mama wa kambo utadhani wachawi😁😁
Great!
 
Mkuu hapo ni 100% kwani jamaa anakubalika sana kwa busara zake na uelewa wake pia ni mcha Mungu mzuri sana.

Akipata ushirikiano wa kutosha nilazima ccm watolewe asubuhi na mapema sana.
View attachment 1503256

Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba , uko uzi humu jf ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza .
 
Upande ule hawawezi kunawili wala kufurahia maisha maana wengi wao wameingia madarakani kwa figisu hivyo nafsi zinawasuta.
Chadema ni kama dhahabu kadiri unavyoitia moto mkali ndivyo inazidi kung'aa. Halafu kwanini wanachama wa chadema wana furaha sana.? Popote unapowaona nyuso zao zinamelemeta yaani. Wale wengine upande wa mama wa kambo utadhani wachawi[emoji16][emoji16]
 
Mwaka huu Bukoba hapati ng'oo! Kala hela za stend, soko halijajengwa, mradi wa barabara za W/bank wamerumbana wee hadi ukaota nyasi! Sasa hivi ni kijani tu hatutaki ujinga tunataka maendeleo!
Amekula ela za stand kwani yeye ndiye mkurugenzi wa manispaa?

Amekula ela za stand kwani yeye ndiye contractor? Jaribu kuwa unajenga hoja kuliko kukurupuka kama unamkimbiza mwizi.
 
Back
Top Bottom