Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
😆😆😆Lipo kubwa, tuliza akili uendane na ngoma zinavyo chezwa maana bado upo ugenini usije ukajiaibisha ukweni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Lipo kubwa, tuliza akili uendane na ngoma zinavyo chezwa maana bado upo ugenini usije ukajiaibisha ukweni.
Mkuu hapo kwenye Mungu isomeke kwa herufi kubwa.Ukumbuke hilo kila wakati.
Mungu kuonyesha utukufu wake ndani ya cdm.
rubbish
Ukiwa Chadema lazima uwe ni hazina ya Mbowe. Kwa Mbowe no Money no member
Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.
Erythrocyte,
Hilo jimbo lazima CCM ishinde, iwe mvua au jua lazima CCM ishinde!
Erythrocyte,
Mwaka huu Bukoba hapati ng'oo! Kala hela za stend, soko halijajengwa, mradi wa barabara za W/bank wamerumbana wee hadi ukaota nyasi! Sasa hivi ni kijani tu hatutaki ujinga tunataka maendeleo!
Leteni fedha za rambirambi za tetemeko kwanza!!Erythrocyte,
Mwaka huu Bukoba hapati ng'oo! Kala hela za stend, soko halijajengwa, mradi wa barabara za W/bank wamerumbana wee hadi ukaota nyasi! Sasa hivi ni kijani tu hatutaki ujinga tunataka maendeleo!
Joined 7 April 2020
Boss povu la nini, subiri baada ya October ndo uje ulete mrejesho hapa jamvini! Kwanza wewe hata si mpiga kura kazi unayofanya ya kushupaza shingo utajutaa baada ya uchaguziLeteni fedha za rambirambi za tetemeko kwanza!!
Boss wako alisema yeye sio Mungu kuleta tetemeko, lakini fedha za msaada kazifutika.
Watu walipewa biskuti kama msada, watu hawasahau!!
Yaani hawa jamaa kuchukua makapi ya CCM hata hawajifunzi, yaani alioyewaita Nyumbu wala hakukoseaAmehamia lini Chadema kutoka CCM?
MwanaCCM damu huyo
Wahaya wanajitambua, siyo kama mataga wengine wa kanda ya ziwa.Erythrocyte,
Hilo jimbo lazima CCM ishinde, iwe mvua au jua lazima CCM ishinde!
Daah mzee umewapa za uso hasa.Kama kavuruga kwenye umeya mchinjieni mbali huko hakuna kuangalia sura ya mtu.Tunataka maendeleo ya kasi.Erythrocyte,
Mwaka huu Bukoba hapati ng'oo! Kala hela za stend, soko halijajengwa, mradi wa barabara za W/bank wamerumbana wee hadi ukaota nyasi! Sasa hivi ni kijani tu hatutaki ujinga tunataka maendeleo!
umeandika madudu gani mkuu ?Ukiwa Chadema lazima uwe ni hazina ya Mbowe. Kwa Mbowe no Money no member
Hivi unaamini Meya anaweza kula hela za stendi ?Daah mzee umewapa za uso hasa.Kama kavuruga kwenye umeya mchinjieni mbali huko hakuna kuangalia sura ya mtu.Tunataka maendeleo ya kasi.
Mkuu hawakukaa baraza la madiwani karibia miaka mitatu, marumbano tu, kesi haziishi mahakamani, mara wagome kusaini, siasa chafu kila siku! Tumechelewa sana, ukidume mavi na maelekezo ya mbowe kupinga maendeleo Bukoba hatutaki tena, tunataka maendeleo hatutaki maneno maneno ya kutukana eti ndo mnaita demokrasia! CCM kanyaga twende. Bukoba mwaka huu mafiga matatu Raisi, Mbunge, Diwani wote CCM. Tushaachana na mawakala wa mabeberu kitamboooHivi unaamini Meya anaweza kula hela za stendi ?
Shamba Boy acha pelepele za Lumumba jibu hoja, fedha za rambi rambi za tetemeko toka USA, Italy, Germany, UK etc zilitolewa na mabarozi wa hizo nchi ziko wapi??Boss povu la nini, subiri baada ya October ndo uje ulete mrejesho hapa jamvini! Kwanza wewe hata si mpiga kura kazi unayofanya ya kushupaza shingo utajutaa baada ya uchaguzi
Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.