Uchaguzi 2020 Chifu Karumuna achukua fomu ya kugombea ubunge Bukoba Mjini, yasemekana anakubalika kwa 90%

Uchaguzi 2020 Chifu Karumuna achukua fomu ya kugombea ubunge Bukoba Mjini, yasemekana anakubalika kwa 90%

Huyu jamaa wakati anachaguliwa kuwa mayor alikuwa kwetu asubuhi mapema. Mpaka leo sijui kwa nini ilikuwa vile ile siku from nowhere akawa mayor. Sikuona harakati zozote mapema, kesho yake nyumbani wakatoka kwenda party. Likizo zote nilikuwa namuona, tokea siku hiyo sikuwahi muona tena. Na leo ndo nimejua jina lake, nilikuwa namuita chifu nikijua ni la mtaani.
 
Nashukuru sana mkuu kwa kunirekebisha na tayari nishalifanyia kazi.
Mkuu hapo kwenye Mungu isomeke kwa herufi kubwa.Ukumbuke hilo kila wakati.
Mungu kuonyesha utukufu wake ndani ya cdm.
 
Mtajinyonga safari hii maana mlikuwa mnajidanganya kuwa tayari mmesha imaliza cdm.

Mmewanunua madiwani mkajisifu.
Mmewanunua wabunge mkasherehekea, mkawafunga viongozi wa chama mkapiga miruzi.

Lkn leo hii bado cdm ndiyo chama ambacho kinaendelea kuchanua na kupendwa kila kona pamoja na kupitia kwenye mateso magumu.
 
Karumuna atashinda. Anaungwa mkono na CCM pamoja na wapinzani jimboni humo. Wananchi wengi wasiokuwa kwenye siasa za vyama wanamfahamu na kumuunga mkono pia.
 
Chiefu hana mpinzani sahivi Bukoba ukiachana na kuwa natatizo la soko na stend ila maendeleo yamefanywa kupitia mapato ya ndani na hela zingine zilichukuliwa na serikali kuu na magufuli.....
 
Erythrocyte,
Hilo jimbo lazima CCM ishinde, iwe mvua au jua lazima CCM ishinde!
Erythrocyte,
Mwaka huu Bukoba hapati ng'oo! Kala hela za stend, soko halijajengwa, mradi wa barabara za W/bank wamerumbana wee hadi ukaota nyasi! Sasa hivi ni kijani tu hatutaki ujinga tunataka maendeleo!

Leteni fedha za rambirambi za tetemeko kwanza!!
Boss wako alisema yeye sio Mungu kuleta tetemeko, lakini fedha za msaada kazifutika.
Watu walipewa biskuti kama msada, watu hawasahau!!
 
Leteni fedha za rambirambi za tetemeko kwanza!!
Boss wako alisema yeye sio Mungu kuleta tetemeko, lakini fedha za msaada kazifutika.
Watu walipewa biskuti kama msada, watu hawasahau!!
Boss povu la nini, subiri baada ya October ndo uje ulete mrejesho hapa jamvini! Kwanza wewe hata si mpiga kura kazi unayofanya ya kushupaza shingo utajutaa baada ya uchaguzi
 
Amehamia lini Chadema kutoka CCM?

MwanaCCM damu huyo
 
Erythrocyte,
Mwaka huu Bukoba hapati ng'oo! Kala hela za stend, soko halijajengwa, mradi wa barabara za W/bank wamerumbana wee hadi ukaota nyasi! Sasa hivi ni kijani tu hatutaki ujinga tunataka maendeleo!
Daah mzee umewapa za uso hasa.Kama kavuruga kwenye umeya mchinjieni mbali huko hakuna kuangalia sura ya mtu.Tunataka maendeleo ya kasi.
 
Daah mzee umewapa za uso hasa.Kama kavuruga kwenye umeya mchinjieni mbali huko hakuna kuangalia sura ya mtu.Tunataka maendeleo ya kasi.
Hivi unaamini Meya anaweza kula hela za stendi ?
 
Hivi unaamini Meya anaweza kula hela za stendi ?
Mkuu hawakukaa baraza la madiwani karibia miaka mitatu, marumbano tu, kesi haziishi mahakamani, mara wagome kusaini, siasa chafu kila siku! Tumechelewa sana, ukidume mavi na maelekezo ya mbowe kupinga maendeleo Bukoba hatutaki tena, tunataka maendeleo hatutaki maneno maneno ya kutukana eti ndo mnaita demokrasia! CCM kanyaga twende. Bukoba mwaka huu mafiga matatu Raisi, Mbunge, Diwani wote CCM. Tushaachana na mawakala wa mabeberu kitambooo
 
Boss povu la nini, subiri baada ya October ndo uje ulete mrejesho hapa jamvini! Kwanza wewe hata si mpiga kura kazi unayofanya ya kushupaza shingo utajutaa baada ya uchaguzi
Shamba Boy acha pelepele za Lumumba jibu hoja, fedha za rambi rambi za tetemeko toka USA, Italy, Germany, UK etc zilitolewa na mabarozi wa hizo nchi ziko wapi??
Njoo na hoja ya kupata jimbo la Bkb, watu wapo kwenye mapagala!!
Mimi ni mpiga kura mzuri tuu, nimeisha hakiki kwenye kituo changu napiga kura kama kawa!!
 
Back
Top Bottom