Uchaguzi 2020 Chifu Karumuna achukua fomu ya kugombea ubunge Bukoba Mjini, yasemekana anakubalika kwa 90%

Mbona mnakuwa wagumu kuzungumzia pesa za michango ya wabunge ambazo mbowe ameweka kwenye Sacco's yake "Hai Development". Pesa za tetemeko ziliijenga Ihungo sec, Nyakato, kituo cha afya kule maeneo ya Bugabo to mention few! Hiyo ni miladi ya kijamii kila mmoja ananufaika! Haya leta hoja nyingine sasa
 
namshukuru sana huyu kijana mwenzangu, alitusaidia sana wana KAHORORO Seco. MWAKA 2011-12 tulipofikwa na majanga lakin akatusimamia tukamaliza national exams salama na tukafaulu

kipindi hicho alikuwa diwani wa kahororo

nakumbuka tuliwala sana wanafunzi wake wakati tuko hostel zake (dah ubazazi huu jaman hatari sana).. hahaha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…