Chikira Mtabari nawaaga

mh! kikazi halafu hakuna mtandao! ila nakutakia mafanikio mema..
Ndio hivyo myotambendi inabidi hata wananchi walioko huko vijijini wapate huduma sio vizuri kuwatupa kabisa!
 

Tutakumis sana Chikira. Jatahidi uwe unapanda kwenye mti unaweza bahatisha network
 
Kwa kweli mimi ntakumiss sana yaan
Safar njema
 
mkuu kama kuna ngiri huko fanya urudi na nyama ya ngiri
 
"kwenye gari na bos" sijui hata mawazo yamenipeleka wapi?
anyway kulikucha salama lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…