Chikira Mtabari nawaaga

Chikira Mtabari nawaaga

mh! kikazi halafu hakuna mtandao! ila nakutakia mafanikio mema..
Ndio hivyo myotambendi inabidi hata wananchi walioko huko vijijini wapate huduma sio vizuri kuwatupa kabisa!
 
Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.

Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.

Tutakumis sana Chikira. Jatahidi uwe unapanda kwenye mti unaweza bahatisha network
 
Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.

Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
Kwa kweli mimi ntakumiss sana yaan
Safar njema
 
mkuu kama kuna ngiri huko fanya urudi na nyama ya ngiri
 
ahahaaa hii nchi ina vijiji vya ajabu ila watu wanaishi kuna siku nilienda handeni vijijini ndani hukooo yaani nilikoma nilillala tu kwenye gari na boss maana kulikuwa hakuna jinsi yaaani nyumba za udongo kijiji kizima halafu vumbiii kukiwa na safari za huko nauchuna kama sio mimi yaani
"kwenye gari na bos" sijui hata mawazo yamenipeleka wapi?
anyway kulikucha salama lakini?
 
Back
Top Bottom