radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo myotambendi inabidi hata wananchi walioko huko vijijini wapate huduma sio vizuri kuwatupa kabisa!mh! kikazi halafu hakuna mtandao! ila nakutakia mafanikio mema..
radika katika ubora wako, good morninguyo ccm yuko salama
heeeeeeeeeeeeeeeeeee!Unaenda kupata mafunzo zaidi ya Ushushushu. Kila la kheri Mkuu
Ahsante DUME SURUALI, ila wewe nakumbuka ulisema unamfia FAIZA FOXY hahahahChikira baby wangu
Safari njema
radika katika ubora wako, good morning
Ww utakuwa mchepuko wanguAhsante DUME SURUALI, ila wewe nakumbuka ulisema unamfia FAIZA FOXY hahahah
Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.
Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
Kwa kweli mimi ntakumiss sana yaanKwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka.
Nawatakia kila la kheri wana JF wote wenye mapenzi mema na mimi.
Yoo iwe booojoo! hahahahhaa Mlangila wange tarairotaTutakumis sana Chikira. Jatahidi uwe unapanda kwenye mti unaweza bahatisha network
"kwenye gari na bos" sijui hata mawazo yamenipeleka wapi?ahahaaa hii nchi ina vijiji vya ajabu ila watu wanaishi kuna siku nilienda handeni vijijini ndani hukooo yaani nilikoma nilillala tu kwenye gari na boss maana kulikuwa hakuna jinsi yaaani nyumba za udongo kijiji kizima halafu vumbiii kukiwa na safari za huko nauchuna kama sio mimi yaani
Ahsante Iceman 3D, ngoja nitafute mkate wa kila siku mwayaKwa kweli mimi ntakumiss sana yaan
Safar njema
hahahahahahahahahaahahWw utakuwa mchepuko wangu
[emoji7]
Ww utakuwa mchepuko wangu
[emoji7]