Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi

Hii ni ligi mwanangu. Subiri mwisho wa ligi.
By the way usihamishe mada. Tunaongelea Chiko haoa
Mchezaji hapimwi kwa mechi moja. Na profile za nyuma sio zinazocheza mpira. Kama profile za nyuma ndio zinazocheza mpira basi chama aliyefanya vizuri akiwa Simba asingekosa namba Berkane kutokana na kile alichokifanya akiwa Simba. Usajili ni 50- 50 haijalishi mchezaji ana profile kubwa au ndogo kiasi gani.
 
Mzee wewe hufuatilii mpira mzee. Chama mechi yake ya mwisho alikuwa man of the match. Nikisema unaongea mashudu nitakuwa nimekosea!?
Screenshot_20220116-114900.png
 
....Hata kwa Fiston Mayele mlisema vivyo hivyo mikia nyie. Pambaneni na timu yenu mbovu kwanza ndo uje kuiongelea Yanga...

Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu.

Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe anakuja timu ambayo haipo hata kwenye shindano hata la kuku kimataifa, ujue mchezaji huyo ni mzigo.

Mchezaji anayejua boli akiingia hata sekunde 7 unamjua tu. Namna anavyokimbia na ku turn.

Kiwango cha makelele yaliyopigwa na uhalisia ni kama mbingu na ardhi. Yaani kwa kifupi huyo hawezi hata kumfikia Nchimbi yaani kwa Kaseke huyu Chiko akasome.

Maoni yangu ni kwamba kwa sifa tulizoambiwa na akina Manara na genge lake la propaganda za kishamba, tulitegemea tuone moto na nyasi kuungua na miguu ya Chiko. Kumbe mazee tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Au ni Yikpe karudi kwa jina la Ushindi! Ahahahahah!!
 
Mzee wewe hufuatilii mpira mzee. Chama mechi yake ya mwisho alikuwa man of the match. Nikisema unaongea mashudu nitakuwa nimekosea!?
View attachment 2093043
Kacheza mechi ngapi chama akiwa Berkane? Je mechi ngapi ameanza? Kama unaamini katika statistics basi lete statics za chama akiwa Berkane. Hapo umeleta huo uthiibitisho wa kumuonesha chama man of the match katika mechi yake ya mwisho hapo unathibitisha kitu kinachoitwa muda. Chama alikuwa mchezaji wa kawaida Berkane ila mwisho kawa man of the match hivyo hata huyu Chico mpe muda kama ulivyompa muda Chama kwenye timu ya Berkane. Au unataka kusema Chama alikuwa tegemeo Berkane kama alivyokuwa tegemeo Simba?
 
Yaan mechi moja tu umeshamdifine mchezaji [emoji54][emoji54] hata hao makocha hawafanyagi hivyo
 
Kaxheza dakika ngapi?
Oh!! Kumbe umetupita point kumi huku tunamchezo mkononi. Nilidhani unasema yanga imechukua kombe.

Halafu tunaongelea Chiko Ushindi, maoni yako ni yapi kwa kiwango chake!?
 
Chico kitu tumekiona kwake ni mwanya pekee.
 
Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu.

Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe anakuja timu ambayo haipo hata kwenye shindano hata la kuku kimataifa, ujue mchezaji huyo ni mzigo.

Mchezaji anayejua boli akiingia hata sekunde 7 unamjua tu. Namna anavyokimbia na ku turn.

Kiwango cha makelele yaliyopigwa na uhalisia ni kama mbingu na ardhi. Yaani kwa kifupi huyo hawezi hata kumfikia Nchimbi yaani kwa Kaseke huyu Chiko akasome.

Maoni yangu ni kwamba kwa sifa tulizoambiwa na akina Manara na genge lake la propaganda za kishamba, tulitegemea tuone moto na nyasi kuungua na miguu ya Chiko. Kumbe mazee tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.
Mwisho wa siku usisahau Yanga kwa sasa inaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 10 dhidi ya timu inayomfuatia. Na hiyo timu iko nyuma kwa mchezo mmoja tu!

Na siku ikienda ugenini kucheza na Kagera Sugar, na ikafungwa au kuendeleza wimbi lake la sare! Itakuwa inaisafishia njia timu ya Wananchi raundi ya pili kutangazwa Bingwa hata kabla ya kumaliza michezo yake ligi.

Wewe endelea tu kujibaraguza na huyo Chiko Ushindi wako! Kana kwamba ndiye mchezaji pekee pale Yanga.
 
Kwaida yenu miaka yote. Lakini swali langu Chiko umemuonaje!?
 
Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu.

Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe anakuja timu ambayo haipo hata kwenye shindano hata la kuku kimataifa, ujue mchezaji huyo ni mzigo.

Mchezaji anayejua boli akiingia hata sekunde 7 unamjua tu. Namna anavyokimbia na ku turn.

Kiwango cha makelele yaliyopigwa na uhalisia ni kama mbingu na ardhi. Yaani kwa kifupi huyo hawezi hata kumfikia Nchimbi yaani kwa Kaseke huyu Chiko akasome.

Maoni yangu ni kwamba kwa sifa tulizoambiwa na akina Manara na genge lake la propaganda za kishamba, tulitegemea tuone moto na nyasi kuungua na miguu ya Chiko. Kumbe mazee tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.
Mkuu yaani utopolo ni utopolo tu, Jamaa kaingia sub kwa mbwembwe sana Moyoni nikajisemea Yes, mtan yuko serious na ubingwa msimu huu ila kadri muda ulivyozidi kwenda nikacheka sanaaa maana ni aibu kubwa kule jukwaani kwa Bugat na wanapropaganda wenzie kwa uongo waliosemea kwa mashabiki wao
 
Vipi unamtathimini mchezaji aliyecheza dakika 10?...kama hiyo haitoshi kumbuka
Ni huyu huyu Chiko last match ndiye aliyeleta purukushani iliyozaa tuta na goli...japo napo alicheza chini ya dkk 20
 
Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu.

Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe anakuja timu ambayo haipo hata kwenye shindano hata la kuku kimataifa, ujue mchezaji huyo ni mzigo.

Mchezaji anayejua boli akiingia hata sekunde 7 unamjua tu. Namna anavyokimbia na ku turn.

Kiwango cha makelele yaliyopigwa na uhalisia ni kama mbingu na ardhi. Yaani kwa kifupi huyo hawezi hata kumfikia Nchimbi yaani kwa Kaseke huyu Chiko akasome.

Maoni yangu ni kwamba kwa sifa tulizoambiwa na akina Manara na genge lake la propaganda za kishamba, tulitegemea tuone moto na nyasi kuungua na miguu ya Chiko. Kumbe mazee tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.
Sawa.Hayakuhusu angaika na Simba yako.muda utasema

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom