Chiko Ushindi tumemuona ni mchezaji wa kawaida mno wakati tuliambiwa atasimamisha nchi

Oh!! Kumbe umetupita point kumi huku tunamchezo mkononi. Nilidhani unasema yanga imechukua kombe.

Halafu tunaongelea Chiko Ushindi, maoni yako ni yapi kwa kiwango chake!?
Mchezo mkononi [emoji3][emoji3][emoji3], kiporo kimechacha[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kosa gani atimuliwe kocha badala ya mshauri wake Matola? Huyu kocha wangapi yupo nae?
ushawahi sikia wapi timu imefukuza kocha msaidiz kisa matokeo mabovu ikamwacha kocha mkuu? mocha mkuu ndio mwenye dhamana
 
Angaika na wachezaji wa timu yako, wachezaji wa Yanga hawakuhusu

2022-1-29_10-45-44.PNG
 
ushawahi sikia wapi timu imefukuza kocha msaidiz kisa matokeo mabovu ikamwacha kocha mkuu? mocha mkuu ndio mwenye dhamana
Mchawi wa makocha pale kwa Makolo ni Matola, kocha mkuu anaweza mkataa kocha msaidizi
 
Wahenga walisema la kuvunda halina ubani. Hata upambe vipi kwa matarumbeta na vifijo kama kibovu kibovu tu.

Mazembe huwa hawawezi kutoa mchezaji kizembekizembe. Kuiona mchezaji anatoka mazembe anakuja timu ambayo haipo hata kwenye shindano hata la kuku kimataifa, ujue mchezaji huyo ni mzigo.

Mchezaji anayejua boli akiingia hata sekunde 7 unamjua tu. Namna anavyokimbia na ku turn.

Kiwango cha makelele yaliyopigwa na uhalisia ni kama mbingu na ardhi. Yaani kwa kifupi huyo hawezi hata kumfikia Nchimbi yaani kwa Kaseke huyu Chiko akasome.

Maoni yangu ni kwamba kwa sifa tulizoambiwa na akina Manara na genge lake la propaganda za kishamba, tulitegemea tuone moto na nyasi kuungua na miguu ya Chiko. Kumbe mazee tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.
Hata Mayele mlisema hivyo hivyo ,upo uzi humu inamzungumzia Mayele kama galasa Yanga wamepigwa lakini leo wale waliokuwa wanazungumzia hilo wameufyata mkia.Hivyo kuhusu Chico Ushindi ni suala la muda tu mtatafuta kwa kujificha kwa umbeya wenu. Muwe na akiba ya maneno Yanga sasahivi akisajili anasajili vitu vya uhakika scouting team yao ni nzuri na hela ya kumsajili mchezaji yoyote ipo.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Nakazia hayo yaliyosemwa... huyo Mayele ni galasa na huyo Chico hakuna cha muda wala nini, ni kapi tu hilo!
Wale mataptap tuliokwenda kuwabeba juu juu airport si tulidai ni muda lakini kilichotokea ni nini?
Kiufupi timu yetu inapata matokeo yasiyo na uhalisia, bahati na media ndio zinatubeba tu!
Hivi tulivyocheza na mbao kama timu ingekuwa nzuri tungepata goli moja tu..!?
Tulishinda ile mechi kibahati tu, kwenye ligi mzunguko wa pili lazima tutafute mchawi!
 
Wivu unakusumbua sana eti unajifanya wewe Yanga, unaongea habari za Mayele garasa unashindwa kuangaika na wakina Kagere, Mugalu, bocco na Kibu ambao wanashindwa kuiwezesha simba kuambulia point tatu. Mechi tatu goli 0. Vipi chama mliyemuimba kutwa kaisaidiaje timu kuondoka na point tatu Kaitaba?
IMG_20220130_113304.jpg
 
Nakazia hayo yaliyosemwa... huyo Mayele ni galasa na huyo Chico hakuna cha muda wala nini, ni kapi tu hilo!
Wale mataptap tuliokwenda kuwabeba juu juu airport si tulidai ni muda lakini kilichotokea ni nini?
Kiufupi timu yetu inapata matokeo yasiyo na uhalisia, bahati na media ndio zinatubeba tu!
Hivi tulivyocheza na mbao kama timu ingekuwa nzuri tungepata goli moja tu..!?
Tulishinda ile mechi kibahati tu, kwenye ligi mzunguko wa pili lazima tutafute mchawi!
Matokeo yasio na uhalisia maana yake ni fake au?
 
Nakazia hayo yaliyosemwa... huyo Mayele ni galasa na huyo Chico hakuna cha muda wala nini, ni kapi tu hilo!
Wale mataptap tuliokwenda kuwabeba juu juu airport si tulidai ni muda lakini kilichotokea ni nini?
Kiufupi timu yetu inapata matokeo yasiyo na uhalisia, bahati na media ndio zinatubeba tu!
Hivi tulivyocheza na mbao kama timu ingekuwa nzuri tungepata goli moja tu..!?
Tulishinda ile mechi kibahati tu, kwenye ligi mzunguko wa pili lazima tutafute mchawi!
Huna lolote we ni shabiki wa Simba Ila kumbuka mastraika wako mechi tatu hawajafunga goli lolote kwenye ligi lakini huyo Mayele mechi tatu za ligi na FA anagori tatu sasa hapo yupi kapigwa acha wivu
 
Nakazia hayo yaliyosemwa... huyo Mayele ni galasa na huyo Chico hakuna cha muda wala nini, ni kapi tu hilo!
Wale mataptap tuliokwenda kuwabeba juu juu airport si tulidai ni muda lakini kilichotokea ni nini?
Kiufupi timu yetu inapata matokeo yasiyo na uhalisia, bahati na media ndio zinatubeba tu!
Hivi tulivyocheza na mbao kama timu ingekuwa nzuri tungepata goli moja tu..!?
Tulishinda ile mechi kibahati tu, kwenye ligi mzunguko wa pili lazima tutafute mchawi!
Nyamaza we hater, kaa huko huko Makolokolo FC akili huwa zinawaruka nyie tunawajua vema.
 
Wivu unakusumbua sana eti unajifanya wewe Yanga, unaongea habari za Mayele garasa unashindwa kuangaika na wakina Kagere, Mugalu, bocco na Kibu ambao wanashindwa kuiwezesha simba kuambulia point tatu. Mechi tatu goli 0. Vipi chama mliyemuimba kutwa kaisaidiaje timu kuondoka na point tatu Kaitaba?View attachment 2100874

Hao akina Mugalu, Kagere wanahusika vipi na utopolo yetu?
Mimi naongelea wanaouhusika na timu yetu ya utopolo... tatizo la mashabiki wetu wa utopolo yetu ambao tuliwahi itwa manyani na kocha tukiambiwa ukweli tunakataa!
Mayele ni garasa kwisha...!!
Toa povu uwezavyo kama ulivyotoa wakati triple C alivyokuwa anahusishwa kurejea timu kubwa, ambapo uliumbuka na kuukimbia uzi ulioleta hizo tetesi, na kwa uzwazwa wako umekwenda kuleta mapovu yako hapa kuthibitisha ulivyo zwazwa!!
 
Nyamaza we hater, kaa huko huko Makolokolo FC akili huwa zinawaruka nyie tunawajua vema.

Ooh.. kumbe unaweza kuniamrisha ninyamaze hapa eee??
Sinyamazi sasa, utanifanya nini mwanautopolo mwenzangu...!!
Hili timu letu ni moto wa mabua tu hamna kitu, tunatembelea upepo wa msukule ambao muda si mrefu tutaanza kumtafuta mchawi... utopolo mwenzangu tulia haya matokeo ni ya muda tu, game zilizobaki mzunguko wa pili hatuna chetu!
 
Haya bana sikuwezi.
 
Hao akina Mugalu, Kagere wanahusika vipi na utopolo yetu?
Mimi naongelea wanaouhusika na timu yetu ya utopolo... tatizo la mashabiki wetu wa utopolo yetu ambao tuliwahi itwa manyani na kocha tukiambiwa ukweli tunakataa!
Mayele ni garasa kwisha...!!
Toa povu uwezavyo kama ulivyotoa wakati triple C alivyokuwa anahusishwa kurejea timu kubwa, ambapo uliumbuka na kuukimbia uzi ulioleta hizo tetesi, na kwa uzwazwa wako umekwenda kuleta mapovu yako hapa kuthibitisha ulivyo zwazwa!!
Mkuu una haki ya kutafuta pa kujifariji. Niishie hapo utang'amua mwenyewe kama unajifariji kwa kujiunga na Yanga baaada Simba kuwa mbovu, ama unajifariji kwa kujiongepea Mayele ni galasa ili kupunguza hasira za washambuliaji wako kushinda kutupia goli, ama kujifariji kuwa Yanga ni moto wa mabua watakata upepo. Nakuelewa mkuu kwa wakati huu lazima utafute namna ya kujifariji ili kuongeza siku za kuishi usijepata sonono na kuchukua maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom