Chikola na wazawa wengine wa Tabora united waitwe Stars

Chikola na wazawa wengine wa Tabora united waitwe Stars

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Tunaomba chikola aitwe taifa stars. Accuracy yake akiwe mbele ya goli ni kubwa sana, nahisi jamaa ni mbrazili Naomba kocha na tff wamuongeze taifa stars.


Hicho kipaji kikuzwe. Accuracy yake mbele ya goli ni ya kimataifa level za UEFA champions league.

Pia kama kuna wazawa wengine waliocheza vizuri leo kwenye mechi dhidi ya Yanga wangeitwa kikosini.
 
chrome_screenshot_Nov 7, 2024 8_30_58 PM GMT+03_00.png
 
Nchi hii ina uhaba mkubwa wa washambuliaji wazawa ambao ni wazuri wenye accuracy mbele ya goli.

Wachezaji wengi wazawa wanakosa magoli, ni kutoa nje na kupaisha. Katika Nafasi 5/10, 1 ndio inafika golini

Chikola kapata mbili na zote kafunga goli 2.


Chikola kaupiga mwingi mno.
 
Sio yanga wamempaisha zaidi
Yuko vizuri apewe maua yake. Shooting accuracy yake ipo juu mno. Mguu wake wa kushoto uko vizuri sana. Ubora wa shooting accuracy yake ipo juu mno ni level za UEFA champions league.


Aitwe Taifa stars, apewe nafasi kuonesha kipaji chake.
 
Chikola hana tofauti na Ditram Nchimbi. Ditram, akiwa Polisi Tanzania, alitupiga Yanga hat-trick. Msimu uliofuata tukamsajili. The rest is history.
 
Back
Top Bottom