Chile: Kiongozi wa wanafunzi wa Chuo achaguliwa Rais Kijana zaidi

Chile: Kiongozi wa wanafunzi wa Chuo achaguliwa Rais Kijana zaidi

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Nchini Chile, Gabriel Boric amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Chile.

Boric, kiongozi wa zamani wa wanafunzi anakuwa Rais mwenye Umri mdogo zaidi kuchaguliwa.

Gabriel Boric mwanasheria wa mrengo wa kushoto ameshinda uchaguzi wa marudio dhidi ya mpinzani wake wa mlengo wa Kulia Antonio Kast.

Screenshot_20211220-210805.png
 
Back
Top Bottom