The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Dec 20, 2021 #1 Nchini Chile, Gabriel Boric amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Chile. Boric, kiongozi wa zamani wa wanafunzi anakuwa Rais mwenye Umri mdogo zaidi kuchaguliwa. Gabriel Boric mwanasheria wa mrengo wa kushoto ameshinda uchaguzi wa marudio dhidi ya mpinzani wake wa mlengo wa Kulia Antonio Kast.
Nchini Chile, Gabriel Boric amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Chile. Boric, kiongozi wa zamani wa wanafunzi anakuwa Rais mwenye Umri mdogo zaidi kuchaguliwa. Gabriel Boric mwanasheria wa mrengo wa kushoto ameshinda uchaguzi wa marudio dhidi ya mpinzani wake wa mlengo wa Kulia Antonio Kast.
A Afrikasana JF-Expert Member Joined Oct 27, 2021 Posts 320 Reaction score 288 Dec 21, 2021 #2 Madaraka makubwa na umri wa kati. Mungu amuongoze awe na busara,maono na utulivu