Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
645
Reaction score
562
Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
 
Nenda maki juice Sinza
 
Nenda bandari,mission seafarers floor ya 5 free internet
 
Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH

Una 30,000 ya ku spend? Yamejaa. Nafikiri double view sinza ni pazuri il mshikaki nyma 4 ni 4000
 
Back
Top Bottom