Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Watu wazima.hujaona chupi zinauzwa buku?Hizi za watoto sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wazima.hujaona chupi zinauzwa buku?Hizi za watoto sio
Tatizo watu WA huku jf mnapenda kupigwaMwanzo mtaji ulikuwa mdogo kwahiyo niliona ni vyema nikamuamini nikachagua sample anazotuma Instagram kishaa anitumie, siku ya kwanza niliagiza mzigo mdogo maana si unajua hamjuani na unapima uaminifu nashukuru alituma kama zilivyo na nikapiga faida fresh lkn sasa kuanzia awamu ya pili na ya 3 tena ndio nilifungua na tawi mzigo mwingine nikatuma Kanda Maalum huko mzigo ulinikata kila kitu maana mzigo wa hovyo kabisa
Hizo dazeni za elfu 7 mana sijwah kuona dazen ya chupi za mtu mzima inauzwa chini ya hiyo. Najua zipo ya elfu 6 mia 5 za watotoWatu wazima.hujaona chupi zinauzwa buku?
Hata wanaume zipo bei chee 😆kwa bei hiyo mwanamke kurudia chupi ni aibu wallah
Mfungulie japo kumuhudumia pako pale pale japo cost zitapungua.Mbona kama unanishawishi nikafungulie katoto ka 2000.biashara hyo.🤔🤔🤔nipunguze gharama za kumuhudumia.
Mkuu vipi nikija town unipèleke kwenye machimbo kweli ya vipodozi na bidhaa za urembo utanitoza bei gani0753 777 491
Chimbo la chupi
Bidhaa gan n gani mkuuMkuu vipi nikija town unipèleke kwenye machimbo kweli ya vipodozi na bidhaa za urembo utanitoza bei gani
Namaanisha vipodozi vya bei ya kawaida na bidhaa za urembo kama hereni,cheni,chupi,boxer,mikanda,singlend nkBidhaa gan n gani mkuu
Kiukweli mi mwenyewe nimeziangalia hizo chupi za 15,000 dozen nikaguna moyoni.Hapana ni kwa faida ya watu wachache sana. Jamii forum watu siriaz wachache mnoo so information za maana hazisaidii watu zaid ya member 100
Hizi umepata kaka, tutawasiliana sio kubwa kaka. Mm nachaji 13Namaanisha vipodozi vya bei ya kawaida na bidhaa za urembo kama hereni,cheni,chupi,boxer,mikanda,singlend nk
13 ninìHizi umepata kaka, tutawasiliana sio kubwa kaka. Mm nachaji 13
Elfu13 ninì
Ila ni machimbo hasa ya bei nafuu sana?Elfu
Yah! Ila watu wa jf wajanja sana wanaenda kwqnza wanazunguka wakichoka ndo wanakutafuta saa 7 mchana jua kali miguu ishafanana na kifusi. Chupi kuanzia dazeni 5 kila sampoIla ni machimbo hasa ya bei nafuu sana?
Mkuu nipe connection ya sehemu nzuri unapochukulia, tofauti na kwa huyu ANNA CHIMBOHuyu Dada ANNA CHIMBO sio mkweli hata kidogo na hao Wasaidizi wake hasa kuna mmoja wa Kiume anaafanya biashara hana Customer Care nzuri na anafanya biashara kama karidhika sana, unaweza kumtumia hela akufungie mzigo leo na ukaupata baada ya siku4-5 kwa sababu wanasiku moja tu wameiteua kwaajili ya kufunga na kusafirisha, kosa la pili laa Anna unamtumia sample ya mzigo unaotka lkn atakuchanganyia size usiotaka na aina ya chupi ambayo wewe hukuchagua yaani zile ambazo hazitoki anakuchanganyia ukasumbuke nazo huko, sasa kwa sisi wa mikoani inaumiza maana huna uwezo wa kurudisha unakuta unakula hasara kwa kubaki na chupi nyingi haziuziki na unajikuta mtaji unashuka au unakuwa hupigi hatua, nishaachaga kuagiza kwake maana kila leo msingi unaporomoka kwa kupewa mzigo usiouzika na ukimpigia kumwambia anaishia kuomba msamaha lkn awamu ijayo mambo ni yaleyale