Chimbo la chupi aina zote

Chimbo la chupi aina zote

Mwanzo mtaji ulikuwa mdogo kwahiyo niliona ni vyema nikamuamini nikachagua sample anazotuma Instagram kishaa anitumie, siku ya kwanza niliagiza mzigo mdogo maana si unajua hamjuani na unapima uaminifu nashukuru alituma kama zilivyo na nikapiga faida fresh lkn sasa kuanzia awamu ya pili na ya 3 tena ndio nilifungua na tawi mzigo mwingine nikatuma Kanda Maalum huko mzigo ulinikata kila kitu maana mzigo wa hovyo kabisa
Tatizo watu WA huku jf mnapenda kupigwa
Kuna jamaa alitaka macover ya simu nikamuambia siuzi ila naweza kumsaidia
Uzuri bei anazijua
Achague Mimi nikachukue nimtumie
Sijui aliniona winga .nae katumiwa mzigo sio aliochagua.
 
Huyu Dada ANNA CHIMBO sio mkweli hata kidogo na hao Wasaidizi wake hasa kuna mmoja wa Kiume anaafanya biashara hana Customer Care nzuri na anafanya biashara kama karidhika sana, unaweza kumtumia hela akufungie mzigo leo na ukaupata baada ya siku4-5 kwa sababu wanasiku moja tu wameiteua kwaajili ya kufunga na kusafirisha, kosa la pili laa Anna unamtumia sample ya mzigo unaotka lkn atakuchanganyia size usiotaka na aina ya chupi ambayo wewe hukuchagua yaani zile ambazo hazitoki anakuchanganyia ukasumbuke nazo huko, sasa kwa sisi wa mikoani inaumiza maana huna uwezo wa kurudisha unakuta unakula hasara kwa kubaki na chupi nyingi haziuziki na unajikuta mtaji unashuka au unakuwa hupigi hatua, nishaachaga kuagiza kwake maana kila leo msingi unaporomoka kwa kupewa mzigo usiouzika na ukimpigia kumwambia anaishia kuomba msamaha lkn awamu ijayo mambo ni yaleyale
Mkuu nipe connection ya sehemu nzuri unapochukulia, tofauti na kwa huyu ANNA CHIMBO
 
Back
Top Bottom