Chimbo za gest za bei nafuu

Chimbo za gest za bei nafuu

Nitaenda hiyo lodge sijawahi tokea ngoja nijiandae nikapate utamu na muhudumu huwa nawapenda sana couze siku nyingine huwa naenda na kifaa kumzidi napenda vile kuona wamenuna
[emoji3] [emoji3]
 
Kama unapenda wahudumu wakali nenda kitoli kule mida ya usiku,niliibua toto moja la kiarusha anaitwa lily ni mkalii balaa
Nimeshafika hapo Kitoli, vitanda vyake vinahamasisha sana gemu. Wahudumu nao wapo poa sio wachoyo kabisa.
 
Kwa Dom kuna lodge moja inaitwa Comfort Lodge ipo mitaa ya Jamhuri, karibu kabisa na uwanja wa Jamhuri...pasafi sana na bei ya kistaarabu, 20/25k
 
Back
Top Bottom