Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Alisema ni uongo ndiyo maana akapewa adhabu na Allah na ile ni laana kama alivyo laaniwa Shetani na waovu wengine wote.

Ndiyo maana mpaka sasa hivi hujaonyesha wapi Mtume alishiriki kufukua kaburi hilo.
Ndio maana mwanzo kabisa niliweka verse kuonyesha analofanya Allah wamekubaliana na Muhammad, na ndio nikitaka ukubali kwanza ILI swali la ushiriki wa muhammad lisiwepo

Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.

Ni hakika liliwafanyika kwa maamuzi yao
4:80. Mwenye kumt'ii Muhammad basi ndio amemt'ii Allah
 
Hili nimeshalimaliza,turudi kwa Waraqah,jibu maswali niliyo kuuliza.

Hapa hakuna kwenda nukta nyingine mpaka ujibu maswali niliyo kuuliza.
Na upande wangu nimeshamaliza kuthibitiaha mkristo aliandika Koran , na akatolewa uhai wake na kaburi lake likawa linafukuliwa kila akizikwa , hili tumefunga

Na inaacha mashaka makubwa kwamba Allah akitaka kitu mnadai anasema kuwa na kinakuwa , unajiuliza kwa nini asimuambie Muhammad Jua kusoma na iwe? Kanyongwa pangoni kaambiwa soma na mpaka anakufa hajui
 
Naanza na swali la kwanza , ivi ni kweli ni dini Yako hii na hujui warak alikuwa mkristo? embu soma Sana dini Yako ILI tuki debate usiwe unauliza maswali kama hayo.

Baada ya Muhammad kukabwa Sana na kiumbe ambacho Muhammad alikuwa akijui , Khadija akampeleka kwa cousin yake waraqa , ambae alikuwa mkristo na wakati huo alikuwa akiandika injili , huyu waraq ndio akamtangazia Muhammad kwamba hicho kiumbe kilicho mkaba kilikuwa Malaika jibril
......Khadija then accompanied him to her cousin Waraqa bin Naufal bin Asad bin 'Abdul 'Uzza, who, during the pre-Islamic Period became a Christian and used to write the writing with Hebrew letters. He would write from the Gospel in Hebrew as much as Allah wished him to write. Sahih al-Bukhari 3

Alafu Muhammad anapenda mara 3 Sana , alianza na Malaika kumkaba mara 3 Kuna Siri gani Kwenye 3
 
Kwaio mkuu hauamini katika miujiza? Sijasema Mungu, miujiza. Hujawahi kukutana na scenario ambayo ukahisi kabisa kuna supernatural forces around hiyo scenario?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
SWALI

Mktisto yeyote anaweza jibu ila ustaarabu aweke mbele

1.Ni wapi katika bible Mungu anasema hiki ni kitabu changu?

2.Ni wapi katika bible Mungu anasema hiki ni kitabu kisicho na Shaka ndani yake?
 
Kijana inakuwaje unapoteza muda katika hakuna ?

Wapi Mtume alishiriki kufukua hilo kaburi ? Maana hayo ni maneno yako na inabidi utupe ushahidi,usilazimishe maana ambazo hazipo.
 
Haha kijana una hoja dhaifu sana sasa ukina hivyo hajata iwe hivyo. Na angeamua sote tukawa Waislamu na kuamini hilo kwake rahisi sana,kwahiyo hakuna mashaka hapo au angetaka sote tufe kwa wakati mmoja ingekuwa. Ila Allah anafanya mambo kwa sababu na hekima.

Naona huna hoja.
 
Safi kabisa Waraqah alianza kuwa mpagani mtu mwenye kuutafuta ukweli akakutana na Mayahudi wakamshawishi akaingia humo kisha akakitana Wakristo wafundishao mafundisho ya Paulo (Siyo ya Yesu) akaingia humo,hawa walikuwa wanne na walikuwa wanapingana na washirikina wa Makka katika ibada zao,na alikuwa na ujuzi wa mambo vitabu vya kale ndiyo maana ni mtu wa kwanza kwa Wanaume kumkubali Mtume na sisi tunamuita Swahaba na aliahidi kumuhami mtume kama angekuwa hai haya aliyasema wakati wa uzee wake.

Hili la kumkubali mtume mbona hukulisema ?

Sasa turudi katika aya nataka utuambie wapi aliandika aya za Qur'aan Waraqah ?

Nasubiri majibu.
 
siendelei na ushahidi mpaka uweke ushahidi wa kimaandiko kwa yote uliyo ongea hapo ,

Kumkubali mtume hukuuliza wewe ulitaka nithibitishe kwamba alikuwa mkristo , nimethibitisha alikuwa mkristo na hakuna maali popote Pana sema alikuja kuwa muislamu kama pako weka
Ni haibu Sana ulikuwa hujui alikuwa mkristo , shame on you
NIpO
 
Weka ushahidi wa maandiko
1. Warak alikuwa myahudi
2. Alikuwa mkristo wa kumfuata Yesu na sio Paul
3. Walikuwa wanne na wanapingana na washirikina
4. Alikuwa muislamu wa kwanza kwa wanaume
5. Alimkubali mtume
6. Huyu jibril Yani Gabriel feki wa alllaha tunaona vitabu vya wayahud na wakristo hakuwahi kukaba mtu wala kuwa violence , alikuwa akifika anasema amani iwe nawe , huyu Alie Anza kukaba katokea wapi?


Nyiongeza Muhammad alikuwa dini gani kabla ya kukabwa pangoni?
 
Kijana inakuwaje unapoteza muda katika hakuna ?

Wapi Mtume alishiriki kufukua hilo kaburi ? Maana hayo ni maneno yako na inabidi utupe ushahidi,usilazimishe maana ambazo hazipo.
Unataka kusema Allah na muhammad hawakukata shauri katika jambo la kumfukua kila akizikwa , embu Kiri hilo tusipoteze mda
Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Kwaio mkuu hauamini katika miujiza? Sijasema Mungu, miujiza. Hujawahi kukutana na scenario ambayo ukahisi kabisa kuna supernatural forces around hiyo scenario?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Unajuaje hii ni supernatural force, na hii ni natural ila sijaielewa tu?

Babu na bibi zetu waliofariki miaka 200 iliyopita, leo ukiwaonesha taa za umeme, simu, mawasiliano kwa internet, television etc, usafiri kwa ndege, wanaweza kirahisi sana kusema hizi ni supernatural powers.

Wakati ni natural tu.

Sasa, na wewe ukiona kitu utajuaje hiki ni supernatural na hiki ni natural hujakielewa tu?
 
Nimekuja gundua wewe ni mtupu sana kwenye UISLAMU, unategemea nikuwekee ushahidi ILI ukasome , kazi yangu ilikuwa kuthibitisha mkristo kaandika Koran na kaandika Kati Aya kubwa sana kwenye Koran ,

Muhammad Allah katuma jibril amwambie soma ila mpaka Muhammad anakufa hajui kusoma , obviously kama hajui kosoma hajui kuandika , prophet kihiyo
 
Kuna phenomenon ambazo kwa hali ya kawaida si kawaida. Mfano mambo kama ya mizimu etc. Hivi kwa mfano mtu anapandisha mashetani msikitini au kanisani (unaona kabisa huyu mtu yuko possessed) hii kitu ni kawaida kwako? Mtu kurogwa ni mambo ya kawaida? Umelala kitandani unaamka asubuhi uko chini ya mti, unahisi kuna nini kimeinfluence hiyo kitu?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuuliza unajuaje hiki ni natural na hiki supernatural?

Na unajuaje kwamba unachofikiri supernatural si natural tu, ila wewe hujakielewa tu?

Unajuaje hii supernatural na hii karata tatu tu?
 
Sasa hii aya ina mafungamano gani na hilo tukio la huyo Mkristo ? Kwani Mkristo ni Muumini ?
 
1. Warak alikuwa myahudi
Safi kabisa naanzia hapa.

Nanukuu :

Waraqah ibn Nawfal was one of the four men of Quraysh who disliked polytheism, finding the plurality of society's idols making little sense. The other three were Zayd ibn Nufayl, Abdullah ibn Jahsh and Uthman ibn al-Huwayrith.

They simplified this system to comprise of just one idol and determined a day they would annually sacrifice an animal in its name.

The night when the Prophet (saw) was born, they found their idol had fallen; they repositioned it three times and each time it would fall. They soon realised it could not help itself, let alone its worshippers. (Ibn Kathir, al-Bidayah wa al-Nihayah, Vol. 2, p. 340; al-Halabi, al-Seerah al-Halabiyah, Vol. 1, p. 116)

Waraqah used to tell his companions:

These four truth-seekers began searching for authentic divine revelation. They met a Jewish group who influenced Waraqah to adopt their religion, but the others remained unpersuaded. They continued searching, moving from one religious community to another. A Christian community persuaded Waraqah to convert to Trinitarianism as preached by Paul, however the others remained unpersuaded, Zayd arguing it was little different to Quraysh's polytheism:

They encountered some monotheistic Christians who seemed authentic in following the Prophet Jesus (as). Waraqah finally converted whilst the others preferred to adhere to the religion of Ibrahim (as) until the ba'thah of the Prophet (saw). Ibn Hajar narrated the last journey:

It seems that Waraqah was adopting the most probable religion out there until he discovered the correct deen of Allah. It explains why he adopted whatever goodness he found in Judaism, then moving to Trinitarianism which he saw as abrogating Judaism and finally a lesser corrupted version of Christianity. What supports this understanding is the fact that he continued the search with his friends, refusing to remain with the group who converted him until the last group of monotheistic Christians.


2. Alikuwa mkristo wa kumfuata Yesu na sio Paul
Huwezi kuwa Mkristo ukawa unamfata Yesu.

Ila Waraqah kilicho msaidia ni elimu yake juu ya vitabu vya kale ndiyo maana alipomuona Mtume akamkubali.
5. Alimkubali mtume
Narrated `Aisha:
The Prophet (ﷺ) returned to Khadija while his heart was beating rapidly. She took him to Waraqa bin Naufal who was a Christian convert and used to read the Gospels in Arabic Waraqa asked (the Prophet), "What do you see?" When he told him, Waraqa said, "That is the same angel whom Allah sent to the Prophet) Moses. Should I live till you receive the Divine Message, I will support you strongly." (Sahih al Bukhari 3392)


3. Walikuwa wanne na wanapingana na washirikina
Rejea maelezo ya juu.
6. Huyu jibril Yani Gabriel feki wa alllaha tunaona vitabu vya wayahud na wakristo hakuwahi kukaba mtu wala kuwa violence , alikuwa akifika anasema amani iwe nawe , huyu Alie Anza kukaba katokea wapi?
Hii si hoja.
Nyiongeza Muhammad alikuwa dini gani kabla ya kukabwa pangoni?
Hakuwa MSHIRIKINA.
 
Mpaka muda huu una ruka ruka hujaonyesha Waraqah ameandika aya gani na hili huwezi mpaka unakufa.

Huyi mkristo wa mwanzo alikuwa muongi ndiyo maana alipata laana ya Allah.

Kuwa kwangu Mtupu hakukufanyi wewe ukawa sahihi katika unachokileta yaani unazidi kuwa muongo na uongo wako naufichua na hujawahi kupatia.

Suala la kukutaka wewe uthibitishe ya kuwa Waraqah alikuwa Mkristo ni kwamba huwezi kuepuka kuthibitisha ya kuwa Waraqah ni kati ya watu wa mwanza kuona ishara za utume kwa Mtume Muhammad,hii inaonyesha ya kuwa wewe si msomaji na si muadilifu ndiyo maana ukaona la kuwa Waraqah ni Mkristo ila kumkubali Mtume hukuliona. Ndiyo maana hona zako huwa mfu na zenye kukosa mashiko.

Nasubiri uniwekee aya ambazo Waraqah alimuandikia Mtume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…